@mzeewamastory: Jumba hili la kifahari la kipekee linauzwa kwa dola za Kimarekani milioni moja, laki tatu na sita elfu, sawa na shilingi bilioni tatu, milioni mia nne na thelathini na tano, laki nne na elfu ishirini na tano kwa pesa ya Kitanzania. Nyumba hii ina vyumba vitano ambavyo vyote vina vyoo na bafu ndani, na ipo mita hamsini tu kutoka baharini huko Florianópolis, Brazil. Kwa wale mnaohitaji kutangaziwa biashara, matangazo, mna nyumba, viwanja, au mahoteli, wasiliana nami kupitia WhatsApp kwa namba 0619329037 au piga +255619329037. #MzeeWaMastory #TikTokTanzania #EastAfrica #Swahili #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
mzee_wa_mastory
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 20:00:19 GMT
Music
Download
Comments
hanangboys :
nakukubali kakw
2026-10-07 06:34:23
0
MTOTO WA BIBI :
sarut kaka
2026-10-07 10:35:03
0
Mathieu :
mzee wa mastory a balikani mimi Niko Congo Lubumbashi yes?
2026-10-07 09:09:44
0
emmanuelntalurapaskal :
kaka ss wote wa tanzania ni mahamis tu
2026-10-07 07:47:42
0
Adonis Lubemba :
Brazil?
2026-10-07 10:50:49
0
Key son :
cool
2026-10-06 20:04:45
0
Jonathan Kamanzi :
🥰🥰🥰
2026-10-06 20:03:15
0
Manywere No 1 :
ko apo kwa ela Ile ya daraja la bonyokwa sawa namajengo ayo 10
2026-10-07 06:27:35
0
Brown826510494 :
🥰🥰🥰
2026-10-07 06:23:46
0
To see more videos from user @mzeewamastory, please go to the Tikwm
homepage.