@qassim.chande: @Z"A"I"L"A"Y. C"H"A"N"D"E @Abu'l qassim - ابو القاسم

Q
Q"A"S"S"I"M" C"H"A"N"D"E
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 22:06:33 GMT
42916
7989
352
384

Music

Download

Comments

user3432858449065
Bwakx :
mashallah my brother
2026-10-07 18:41:52
0
user6279150814001
Kairo :
Maashaala tàkibiriiiiii[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-07 17:42:27
2
ramadhan.chuko0
ramadhan chuko :
allahu aqibar
2026-10-07 11:45:51
1
user7696408597795
Leiluz :
mashaaah
2026-10-07 18:03:54
0
mamamasoud
ramlahnassoro :
maa shaa ALLAAH yaa ALLAAH muhifadh mtoto mzuri huyu na uwahifadh wazazi wake na ostadh wake pia nakuomba yaa ALLAAH uwajaalie watoto wangu waijue Qur'aan waisome vyema ya RABBY wahifadh watoto wetu na utuhifadh sote
2026-10-07 04:07:49
24
user6371730485655
True Faith :
sasa makelele yanin tena
2026-10-07 07:04:22
10
user1428181777086
SAKEEN.001🌍 :
Ramadan kwa Sheikh kishki awepo nae pale kwa mkapa dogo nae awe kwenye mashindano ya Qur'an 😊😊😊
2026-10-07 08:00:54
12
shomvi0786
shomvi :
sasa makelele ya nn
2026-10-07 08:41:39
10
amina.kazigo
Amina Kazigo :
WAISLAM WENZANG TUSIACHE SWALA
2026-10-07 18:03:34
5
ahmad.said650
Ahmadi Afya uzazi :
manshallah
2026-10-07 03:34:39
0
yahayaiddi912
Yahaya Iddi :
mashaalwah
2026-10-07 18:41:37
0
ahmedbayyat7
Ahmed bayyat 🌎 :
dah😓😭😭 ya salaaaam 🫀
2026-10-07 10:16:21
9
mmadijr255
Mmadijr255 :
Bayyati to Rasti..🔥🔥🔥😭
2026-10-07 07:43:39
5
swalehe1020
swalehe :
kondoa taqbiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
2026-10-07 06:16:10
5
lausee.ibn.mohamed
Lausee Mohamed :
mashaallah yani hata hatumii nguvu kwenye usomaji wake allah amlipe kheri na amjaalie umri mrefu zaid na awajze kheri wazaz wake pamj na mwalimu wake hakika qur an ni kiburudisho cha nafsi
2026-10-07 07:16:37
6
bint.mahita
bint mahita :
mashaallah dah adi chozi limenitoka
2026-10-07 11:58:46
3
jaushya5
ukhty raudhwa :
mashaallah
2026-10-07 12:49:51
2
rajabu2554
rajabu255 :
yuko vzur
2026-10-07 06:52:33
3
user846123479444
fatuma Ally :
kwakweli awepo tu🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🇹🇿 Mashaallah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-07 08:32:48
2
seleman.nanjonga
Seleman Nanjonga :
mashalaah
2026-10-07 07:34:59
1
haroony.ntyama
Haroony Ntyama :
Masha Allah
2026-10-07 05:02:08
1
rashidmrisho5
RASHID MRISHO :
ALLAH Akufungulie
2026-10-07 09:00:25
3
karambwanda
Dongosinyo :
Mashallah hao cio wale wakupiga dufu na kukaririshwa kaswida. Allah akuhifadhi mdogo wng
2026-10-07 09:23:45
4
mkeka.boy0
mkeka boy :
dog herufi zote yan unazisikia duuuuh safi san
2026-10-07 08:39:44
4
73sulekh3
sulekh🔥 :
dogo anajua mpaka anakera Masha Allah
2026-10-07 06:44:00
4
To see more videos from user @qassim.chande, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About