@user3379223952356: #tanzaniatiktok #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿 #jifunzekitu #tiktokkenya #mwangaza💡

Mr.Alone 79
Mr.Alone 79
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 22:12:51 GMT
129555
8700
305
363

Music

Download

Comments

clain723
clain :
sio kila baba anasura za ivo mbona wengn tunafanana na baba ila warembo
2026-10-07 07:32:15
143
phina.keche
[email protected] :
kama Mimi adi urevi kama baba Angu 😅😅😅
2026-10-07 10:28:01
38
officiallucy006
♋️…. :
me nimefanana nae adi upole ila once nikikasirika yuwhiiii
2026-10-07 10:42:46
0
nayrakajala0
NAYRA KAJALA ❤️ :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]Asante Mungu kwa kunipa sura ya mazaaa
2026-10-07 11:43:23
0
innawontlose31
Innawontlose :
am proud jmnnyyyy[Big LOL]
2026-10-07 12:45:13
0
neyg015
neyG :
mm sura ya baba lakini mzuriii weeeh😂😂🥰
2026-10-07 07:58:14
45
kutham656
kutham❤️ :
sura ya baba oyee❤️😂
2026-10-07 07:36:28
25
minaahaliy
minah🦋🦋🦋 :
asante😂😂😂😂😂
2026-10-07 07:42:19
0
roxiemanong
ms gracey :
guys ilove him[Tears of joy]
2026-10-07 11:22:52
4
user2660016520258
miss ney🧑‍🦰 :
alafu mama angu ndy anaongoza kuninanga kwakuwa nimefanana na baba
2026-10-07 07:23:33
21
dec_kid_
Bee🐝 🐝 :
kama mim ni copy ya yule mzee(R.I.P DADDY)
2026-10-07 10:07:36
2
linamollel575
Lina Mollel :
mm nmefanana na babaangu ila naona hata yy ndo mzuri kuliko mimi
2026-10-07 09:52:49
4
selinamgonda
xchn :
nimefanana na baba..ubishi Hadi kikomba mboga🤣🤣🤣
2026-10-07 09:02:33
5
mtotowabibi34
mtotowabibi🫂❤️🤱 :
Weeeeee am proud with my daddy’s faceeee weeeeee baba angu ni muhandsome vepeeeee
2026-10-07 10:09:29
1
leenydimpoo04
Leeny🦋dimpoo04 :
nmefanana na baba jmn sio Kila baba ana sura kama ya baba ako😁😁😁😁
2026-10-07 12:16:37
4
wathamani3
wathamani🏝Og :
inategemeana na Baba anasura gani😁😁
2026-10-07 10:39:01
3
glorysilayo1
Mom bless🥰🥰 :
Mimi wala sijisikiag vibay jaman ...mpak nime.mmisi daah 😒😒
2026-10-07 07:24:03
4
da.cute711
Da cute :
ila baba yangu uwiiii sijui ulinikataagaa maana sio kwa kufanana ukuu but penda sana my daddy🥰🥰
2026-10-07 11:50:13
1
baysamtz
Baysam 😻🌧️🏖️ :
me shega tu,,, had mama angu anaambiwa me sio mtt wake coz hatujafanana
2026-10-07 10:18:51
1
officialdahuu11
Husna🌸🌸🇹🇿 :
Kama mimi hapaa Sura ya baba angu mzee salum simba♥️( R.I.P Babu G💔🕊️)
2026-10-07 10:18:49
1
anethlukas3
anethlukas155 :
huyo ni mm kabisa😂🤣
2026-10-07 06:06:40
2
lahum235
myrah phone :
Alf nimefanana nae ila mrembo mashaalh
2026-10-07 07:50:31
1
shamma_creations_znz
Nasfar Salum Yahya :
Me ndo natambaaa kabisaa tena napendaa❤️ni vile tu nampenda sana
2026-10-07 05:20:41
2
linah.ishengoma4
Linah Ishengoma :
Ni mm kabisa
2026-10-07 06:49:00
1
sweet.soka54
Sweet soka :
Sant
2026-10-07 13:15:22
0
To see more videos from user @user3379223952356, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About