Fanya chapu nchi inamadeni tuongezee hela ya kutengeneza safina
2026-10-07 20:12:25
1
@elivan boy :
ndo maana tz kutengeneza vitu hatuwez watu wanawaza tu ugali 🤣
2026-10-07 13:35:12
3
yaseer ramadhan [ NJEMA ] :
msiba tunao au hatuna
2026-10-07 15:06:49
5
nipher girl :
Fany ivo bx alf utuambie
2026-10-07 19:00:46
1
Juxt Jerry :
kata uone ndo utaona 😂
2026-10-07 05:00:49
2
Gventina 🌺 :
😂😂😂 ukienda kuangalia usisahau kutoa paswedi kwenye simu kumbuka kutoa namba ya siri ya bank na ya simu pia usishau kutuambia unao wadahi mi naomba uniachie usia kama ni nyumba naomba ati
2026-10-07 16:35:33
1
mp kinana💦💯💯💯💯💯 :
naweka oda me tachukua zote kwa garama yoyote🤣🤣🤣
2026-10-07 18:15:53
2
somacha :
mi nilipasuaga sahiv Niko huku mbinguni wanawasalimia🤣🤣