AFANDE saf sana maana tukiwaambia wengine huwa hawaelewi kisa mabasi ya wakubwa
2026-10-07 08:49:25
1
madii :
sasa afande kama abiria ana bifu akiamua kuongopa unaaminije abiria?
2026-10-07 03:57:50
4
kibe- wise :
sio masaa 8 kisheria ni masaa 4 afande hapo umetelezaaa😆 labda ungesema sio kisheria
2026-10-07 04:49:48
2
barrickmollel :
SASA MWENDO SIO MZURI.KIVIPII. NA VTS IPO. LATRA. NDIO TATIZO WAO NDIO.WANACHOKOZA AJALI. KAMA.MTU.ANATOA ML.1 AONGEZEWE MWENDO KUTOKA 80 HADI 100. NANI.ANAE SABABISHA.AJALIII. KWANINI GARI.IZIDI.80 NA INA. VTS. WAY. KWANINII. HUO MWENDO AMEUTOA WAPII AU.NDIO .MAELEKEZO
2026-10-07 05:45:53
2
HUSSEIN BORA :
Sasa mkikuta anatembea speed ya kawaida mtafanya nn msijifanye wakali kila muda sikilizeni pande zote
2026-10-07 05:16:54
2
kodumas :
Kenya nao he ....
2026-10-07 02:14:09
1
Tatu Hamza :
SI Hawa waligoma juzi wamejisahau tena
2026-10-07 04:46:01
1
Rehema Kagoma :
mtusaidie nagar za mwanza kigoma harijali mwendo wala hazina mikanda na zinajaza sana na askar hawafanyi chochote
2026-10-07 08:17:56
0
KISTEN BUILDERS :
Dereva Anatia huruma
2026-10-07 07:06:21
0
Eliud Assenga :
abiri ni vilaza kuna vibao vinaruhusu spidi 50 kwa saa
2026-10-07 06:53:44
0
Clinton :
saf kabisa
2026-10-07 02:08:48
1
mvp :
ABILIA WANAFKI SANA TUTAGOMA TENA
2026-10-07 03:34:54
8
Humud Mohamed :
Yani apo kama nimimi nikitoa chuma ni spd 30 nimwendo wakobe 😂😂mpk mkoan
2026-10-07 05:02:29
1
Dereva :
Yani kama Mimi. hapo nawamwaga
2026-10-07 06:06:26
1
ALL ABOUT BUSES BACK UP🇹🇿 :
𝗔𝗕𝗜𝗥𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗙𝗜𝗞𝗜𝗜 𝗦𝗔𝗡𝗔𝗔
2026-10-07 05:56:16
3
barrickmollel :
UTAKUTA HUYO ABIRIA DEREVA. AMETEMBEA NA.MKE WAKE. ANA.BIF NAE
2026-10-07 05:46:54
2
kamals s kdr :
abilia wameshindwakuelewa mwendokasi na uendeshaji 🤣🤣🤣
2026-10-07 02:43:46
3
RICH HEART :
kukaguwa mwendo mna vifaa vyakujuwa alikuwa anatembeya speed ngapi????
2026-10-07 04:16:16
1
LUVANGA JS :
Sema nime muelewa davo Hana mapepe Sawa mkuu siyo Kila unacho ambiwa samahani mkuu😂
2026-10-07 03:24:00
1
babu :
DEREVA NI WAKUDHALILISHWA KILA MAHALI HAIJALISHI FAMILIA YAKO INAKUANGALIA
2026-10-07 07:59:00
1
jellystar :
Unajua abilia wengine wanatumwa kumwalibia dereva. Hapo mi ni speed 10.
2026-10-07 06:58:42
0
ibrahimmistaazam :
ivi mawazir nao wanavosafili labda kutoka Dar kwenda Msoma wanakuaga na madereva wawili?anaejua anipe elim
2026-10-07 07:07:50
0
Mkolonjinji comedian :
Ila ukaguzi mbna kama unaqmbatana na udhalilishaji. Muite dereva pemben then kama kuna jambo mueleze taratibu. Mbna wasemwe mbele za watu[Crying][Crying]
2026-10-07 08:38:26
0
Greyvine :
Sasa akitoka apo mtatubu😂
2026-10-07 04:29:33
1
To see more videos from user @udambwimedia, please go to the Tikwm
homepage.