@papaa.marsha1: DOUBLE M SOUND BAND WANA MSHIKEMSHIKE SONG UTANIKUMBUKA ( BASHIR UHADI,

Muziki Wa Dansi Africa
Muziki Wa Dansi Africa
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 02:49:20 GMT
15589
690
52
80

Music

Download

Comments

mbalikiwablessing
Mbalikiwa :
Hivi hizi nyimbo naweza zipata wap? maana nyingine hazipo youtube
2026-10-07 03:14:05
6
mariam.meya
Mwarabu wa kimanyema :
Mpaka nimelia
2026-10-07 11:32:27
1
mansourlikamba
mansourlikamba :
Hizi nyimbo mnazitoaga wapi... Youtube hazipo kabisa... nipe yako
2026-10-07 16:49:57
1
salumsalma10
Salma Salumu :
naomba utuwekee na Ile nyimbo ya chande ya Badi bakule
2026-10-08 10:21:13
2
user5941223307711
user5941223307711 :
hii haipo YouTube uwii
2026-10-07 07:55:18
1
aminamollel
Mc Minnah :
Naomba unitag na Mgumba amezaa....Kocha WA Dunia Jamani🥰🥰🥰
2026-10-08 08:15:57
1
imma.theboy51
IMANI PLUS :
hii ngoma youtube aipo kabisaa
2026-10-07 11:38:05
1
ashajumaah
mom@sharon1 :
nyimbo ya mama angu hii
2026-10-08 12:25:54
1
platini1996
platini1996 :
andumy sekedia yeye yupo hai?
2026-10-11 09:32:18
1
user4420961331707
James :
nini kimeukumba muziki wa dance asee hizi nyakati zilikuwa nzuri sana wakati huo daah
2026-10-07 16:13:16
2
aminimgaya7
aminimgaya7 :
dah hatari sana!!tuwekee na ile ya twanga chipolopolo inaitwa"Hujafa hujasifiwa"
2026-10-07 05:52:49
2
godfreyjohnn
GODFREY🧢 :
Dansi za zamani ni nzuri jaman
2026-10-07 17:51:38
1
husseinsadiki
hussein sadiki :
kumbukumbu nzuri mno hizi
2026-10-07 12:33:54
1
user33407398108706
Boniface Mwamba :
sijuti kukufollow aisee,endelea kutupa burudani za kitambo
2026-10-07 11:17:51
1
johanessmichael
johanessmichael :
Kocha wa Dunia katika ubora wake
2026-10-07 13:05:07
1
chotarawakigogo
Chotara wa kigogo812 :
Ile collable ya Jose mara na badi bakule naipata wapi
2026-10-08 14:17:57
2
ibadamuhimu5
SENGA! :
Diamond wa miaka yetu😂
2026-10-10 05:50:49
1
mama.boys123
Mama Boys :
Daah! Baba angu alikuwa ananunua kila albamu inayotoka jamn.
2026-10-08 16:06:38
1
adoll.king
Adoll King :
Tupia naileya maisha ya mjini yamekuatabu ya hawajamaa
2026-10-10 14:29:52
1
ismailkombo663
Ismail Kombo :
[Red heart][Red heart][Red heart] oyooo
2026-10-11 16:57:49
0
mwengela_zai
mwengela@zai :
Khadija kimobitel
2026-10-08 18:02:56
1
hamis7718
hamis :
niwekee kilio cha yatima ulipo toka huu wimbo wakilio chayatima ndio mwaka alofaliki mama angu nikiwa mdogo.
2026-10-09 17:49:14
0
fredymakaranga
patel. :
mm ninayo kwa anae itaji audio anitafte
2026-10-07 09:08:03
2
moyamba
moyamba :
enzi hizo dawa maarufu za kienyeji ni ngetwa 11
2026-10-07 04:16:36
1
iddibanka.com
Iddibanka.com :
R.I.P HADIJA KIMOBITEL
2026-10-08 17:50:42
0
To see more videos from user @papaa.marsha1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About