@msfetty198: #onthisday

Ms_fetty198
Ms_fetty198
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 03:09:34 GMT
42546
1066
278
81

Music

Download

Comments

iam_godfrey0
Onedirection🇹🇿 :
Hizi ndio zile point za education is better than money 😁
2026-10-07 14:09:14
18
swedijuma500
Expectation#Real= Fluctuation :
sema sizingekuwa sheria za nchi, [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] au basi
2026-10-07 10:08:07
0
user18194724235753
Ta🥀 :
Save hiii video tutamkumbusha 😁
2026-10-07 04:07:24
31
nyamanchata
NYAMANCHATA :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] ahaaaaa
2026-10-07 10:03:18
0
elune_g9
Elüñé🌹🌹 :
😂😂umemsikia mtangazaji alivyomuuliza
2026-10-07 08:41:04
17
ismailhassan9332
ismail Hassan :
kumbe mnaongea na wanafunzi ndiyo maana
2026-10-07 09:48:30
22
mr.chance23
Mr Chance :
ok ok ok ok
2026-10-07 10:48:34
0
amani9b
maarifa kazi :
Hii video itunzeni ase
2026-10-07 10:12:23
8
godwin..tla500
Godwin Emanuel :
what are sayiiiiiiiiiiiing 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-07 09:18:32
0
auntnanah30
naomy@❤️ :
okay okay🤣
2026-10-07 09:05:45
0
madmox438
MARTINEZ-$ :
mtu akiwa chuo anaona waliokoo mtaani ni wazembe[Tears of joy]
2026-10-07 13:33:20
10
mwanaoficiall
MC mwana :
Tumuambie ukweli au tumuache kwanza
2026-10-07 04:44:13
11
benson_tz255
Benson tz255 :
Mtangazaji: Unajishighulisha na nn Msichana: Mm ni mwanafunzi Mtangazaji: Mwanafunzi? Msichana: Eehe Mtangazaji: Unasoma chuo 😂😂😂
2026-10-07 12:29:59
7
machembajr
Machembajr :
Unaonaje tumtafute maana mwaka sasa atupe update
2026-10-07 15:22:30
2
mathiasmanga215
CALVIN :
Tunzeni hii clips tuje kumkumbusha
2026-10-07 05:02:11
8
yassobindizzo11
yassobindizzo :
Matatizi ya kufundishwa kudebate Mimi nilishawahi kusema education is better than money mungu si athuman education nilipata ila hiyo money Hadi leooo
2026-10-07 14:12:17
1
edivan7221
Edivan :
ngoja tumsubili ataona
2026-10-07 11:44:47
1
malemamoh
Prince G :
kwa upande wake yuko sawa kabisa
2026-10-07 14:27:00
1
melt040
Melanin :
Amenikwaza huyu😂😂
2026-10-07 11:44:51
0
mdadawamakamo
Malkia wa fursa 🇹🇿 :
Hapo kwanza nichekeee
2026-10-07 11:40:59
0
shermin.5
shermin.5 :
cjui niongee kwa kuakaa ama kwa ku simama maana nayopitia saiv😂😂😂
2026-10-07 11:10:41
1
___easter_
Easter👑❣️ :
huyu dada saizi yuko wapi kwanza💔😂🙌
2026-10-07 11:41:43
4
bigmarst
Bigmarst🦁👑 :
serikali imesema hamna Ajira yeye anasema zipo
2026-10-07 11:28:06
0
nawalbeury
nawal♥️ :
muache TU dada uyo dunia itamfunzaaa
2026-10-07 09:22:39
2
innocentmichael285
Innocent Michael😁 :
@Innocent Michael😁::Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoMi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kushauri
2026-10-07 07:12:39
2
To see more videos from user @msfetty198, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About