@heaven_on_earthtv: SEHEMU YA 15 IKO YOUTUBE TATARI SOMO ZURI SANA

heaven_on_earthtv
heaven_on_earthtv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 03:40:16 GMT
45007
1537
121
56

Music

Download

Comments

umu.khadija05
umu khadija :
hakuna mume wa mtu
2026-10-07 09:11:18
13
user4686271361845
pricesss :
kwa nini mwanaume alikuja kwangu na anajua ana mke
2026-10-07 10:50:07
8
nanabeautybeautify
Nanabeautybeautify :
ifike mahali muache kuwasema wanawake wa nje, kwan mwanaume anakua hajui kua ana mke mpaka akazae na mwanamke wa nje???
2026-10-07 12:49:39
2
user5745386885273
devotha maxwell :
mm mwenyew nakutaka ww
2026-10-07 11:39:13
4
salomeisaya
chaome :
sas unatak nizae na nani
2026-10-07 11:41:25
2
saraphina891
GwantwA🌴 :
Kwahiyo mtumishi nkipata mimba nitoe Naomba ufafanuzi mtumishi
2026-10-07 12:26:04
1
irene.charles234
I baby❤️ :
na kwanini yeye aiwekeemo, kama imeingia nikamzalie nani[Tears of joy][Tears of joy] na kwanini aje kwangu na wakati anajua yeye ni mme wa mtu.
2026-10-07 12:22:12
2
okuligady
okuligady :
kwa hiyo mimba ikiingia nitoe?
2026-10-07 09:17:39
2
luciaelias14
lizzyfashion❤️🥋❤️🧸💦 :
ngoja tumuuliZe chat gpt kam kuzaa na mume wa mtu ni kosa
2026-10-07 11:47:41
2
user5336477084700
specioza pius ❤️❤️ :
Sasa Kama yeye ametaka
2026-10-07 09:53:39
1
godliver344
godliver :
watu mnapinga jmn
2026-10-07 08:07:15
3
mrs.wa.mume.wang4
sakinah da princess :
huyo mume wa mtyu ndo namtaka Maan nmekosa wa peke ang
2026-10-07 12:56:38
0
elly_official
Elly :
kama suleman alikuww na wake wote hao na akawa alivyo na akabarikia sana
2026-10-07 05:18:55
2
mgayobeautypoint
Pendobeautypoint♥️🇹🇿🇰🇪 :
Kwa Mfano wanaishi hawajaoana wala kutoa Mahali akinitaka Mimi nikatae nikubali?? Naombeni ushauri vipenzi
2026-10-07 12:19:32
0
blessedmbangile22
Blessed Mbangile :
blessing
2026-10-07 08:21:28
2
joventjohansenmushwaimi
Jovent Mugisha Mushwaimi :
Tell Dem😂😂😂
2026-10-07 04:06:11
0
user1924116700275
tina :
kwahy nizaee na nani au
2026-10-07 13:13:46
0
hawahan54
hawahan :
usiwapingie watu maisha bhana
2026-10-07 11:32:10
0
halimaabdalah29
Ashuu Abdalah :
hapna unakosea mzee xaxa huoni kama wanawake tupo wengi au
2026-10-07 08:05:11
4
tatu.mrisho26
🔐⏱️💍✅ :
Kuna comment sioni hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-07 13:07:36
0
happynesscute2
Da🐞happy🪴🦚 :
Kwani azalishi jamani
2026-10-07 13:11:53
0
user4135035141206
happy wambi :
lwann yy atoke nje ya mke wake
2026-10-07 13:29:06
0
user3101565g
user3101519945kipany :
ifike atua acheni kuwasema wanawake
2026-10-07 13:30:39
1
agnes91020
Agnes :
Mi nimekuelewa ila mi nashauri anzeni kuwaambia na kuwaelekeza wanaume walioowa wajiheshimu na kuheshimu ndoa zao /wenza wao maana wao ndiyo chanzo kikuu cha majanga. wanaume wakiacha kutongozatongoza ovyo hata wanawake watatulia. Tofauti na hapo tatizo linaendelea kukua badala yakupungua🙏🏻🙏🏻
2026-10-07 13:14:29
0
suuh2660
Suuh :
sahihi
2026-10-07 05:48:16
0
To see more videos from user @heaven_on_earthtv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About