@al.wahda.tv.tz: SHEIKH ALLY ABUBAKAR - TALAKA SIO KOSA. AL-WAHDA TV- Ufunguo wa Moyo wako . . . SUBSCRIBE CHANELI YETU @Al-WahdaTv-TZ #alwahda #islamic_video #uislam #islam #creatorsearchinsights

Al Wahda Tv - Tz
Al Wahda Tv - Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 03:56:32 GMT
34097
2983
56
224

Music

Download

Comments

user3681453288702
user3681453288702 :
laiti wazazi wangu wasingenilazimisha wallah leo nisingekuwa na majeraha haya tena naishi na mume km aduw kwa kuvumilia meng ili ndoa isivunjjke ee mungu nitowe ktk dhulma hii nmechoka
2026-10-07 16:17:39
22
abdullahhamis507
Abdullah Hamis :
subuhanallaa mungu.atuongoze
2026-10-12 19:47:55
0
huseinsaid46
Husein Said :
mi natak kkuliza km mwanaume hakuhudumii na wala hkjali je nivibayaa kuomb talaka
2026-10-07 13:11:32
4
kk.dida
Kk dida :
family members sio waelewa kabisa
2026-10-07 13:39:21
6
shebz.graffix
Shebz Graffix :
nlitoa talaka nkamwacha msichana mzuri sababu kuna venye ilikua hatuendani...mapenzi yalikuepo but hayakutosha na ilifikia nkamwambia sote tutarazzak kwingine...sijapitia mda mgumu wa kimawazo kama huu...namwombea mungu apate mume bora zaidi yangu sababu mm Allah kashaniruzuku bora zaidi yake...but baada ya kuishi naye miaka 4 na kumpa talaka bdo namkumbuka kwenye dua sana...singelendela kumwona mtalaka wangu akiteseka...nlimtendekeza sana huyo msichana kwenye ndoa yetu na nahofia si wanaume wote wako kama mm kwahio namwombea Allah ampe atakayemfaa zaidi ya vile.
2026-10-09 07:07:48
2
rahajipe3
kulthuum :
mume alieniowa asema ajuwa kuowa hajui kuacha na talaka ni laana nahajui kuishi namimi vizuri 🥺
2026-10-08 14:18:07
3
hawaz2103
Hawaz21 :
Kuna moja wanakwambia ukiondoka kwa huyo utampata mwengne kuliko huyoo ujuteee😅
2026-10-07 18:32:22
3
user8549177973930
Suleiman Salim Abdallah Attman :
Hatukatai ila ikitokea kuvurugana nimakosa mke kwenda kwao mume ana familia yake pili ofisi za kadhi nizakazi gani hayange fikia hapo iwapo angefwata sheria Allah atuongoze
2026-10-07 19:07:01
1
user9060984280385
shani yaa :
n talaka inaombwa wakati gani
2026-10-07 14:55:55
1
leylaaseif1
💕🦋Ukhty lela💕🦋 :
ni halali ndo man ipo
2026-10-07 10:53:36
3
asia.hii3
Asia Hii :
iamani hawataki kutupa tufanyaje
2026-10-07 16:08:39
1
azraq_2022
xxxxxx :
skuhizi hata ndoa ni wantam...akikusea makosa makubwa mara Kwa mara twatoka. Na hatujilaumu.
2026-10-07 16:06:41
4
shangapoint1
shanga point handmade dizain👌 :
anasema ananipenda lkn hanipi huduma yani yy akitoa elf 5 ya kula ndo anaona kamaliza huduma haniruhusu kufanya kazi kaenda kuzaa na mtu tn mkristo nimekuta msg zaidi ya namba 20 za wanawake na la mwisho eti kawa mganga 🥺kah na apo anajiona hana makosa ananiapiza kila siku
2026-10-08 16:33:51
1
mwajuangenje755
NGUO CLASSIC POINT :
wanaume,mwanamme akidai talaka mpe
2026-10-07 19:14:27
1
abdul.waduudy
ABDUL WADUUDY :
ALLAH ATUHIFADHI WALLAHI ATUSITILI 🙏
2026-10-07 04:07:33
2
songombingo7
SONG BNGO :
😂😂😂a
2026-10-07 19:17:18
1
zee_trends_and_homes_ke
It's._Zyna :
mi aliniambia ulisema ww nikuoe nkamwambia basi nasema mm uniache akanipa nkaichanachana apelekee watu wa kwao
2026-10-07 15:39:50
1
huseinsaid46
Husein Said :
ndio hyoo tunayoo ambiwa jmn
2026-10-07 13:10:18
2
faiza.issa08
Faiza Issa :
subhanallah
2026-10-13 17:40:02
0
huseinsaid46
Husein Said :
kwa sabb ya wanang na mm moyo wang umeshachok nae nataman aniache je hili nalo nikiomb talak ninapata zambii
2026-10-07 14:43:11
1
asha.komb
Asha Komb :
shehe mm nina suala moja kuhusu Eda. Ivi mtu km umeachwa ukiwa katika hedhi hapo inahesabika vipi hyo Eda . yaani zinazovaliwa ni hedhi 2 au tunaanza hzo hzo 3. naomba jibu inshaallah
2026-10-13 10:17:38
0
fareeddallas0906
Aboubakr Abdalla Alzubeid :
Shida twaona mateso ya upande wa wanawake kwenye ndo tunasahau shida wanaume tunapitia kwenye ndoa
2026-10-10 03:07:53
0
tricia0705923308
Tricia :
mm nilisilimishwa na mume wangu tumevumilia maisha wakati Hana KAZI ,,nimemzalia Mtoto baada ametafuta Mtoto kwa miaka mingi,,,Leo amepata KAZI hio mwezi ameenda kuoa ,,,hajui Mtoto anapataje maziwa papers ahajui tunakula aje Leo ameenda kuoa ,,nimemwambia aniwache ni Sawa naomba nisaidieni
2026-10-11 05:33:48
0
intelligent_aica
Aica :
nimekuja gundua kheri uolewe n mume anajia na kuifata dini lkn wavuta bangi aah sijui n wote au huyu wangu lkn nimeyapitia kupigwa kuchitiwa mpka kupoteza mtto 😭naona ndoa n chungu
2026-10-09 09:15:52
2
qataluu
Qataluu :
🥰🥰🥰
2026-10-08 17:21:01
1
To see more videos from user @al.wahda.tv.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About