@sambaboytz: Ugomvi wa mzee makamba na mm ni kuoa tu mungu anifanyie wepesi nipate mke mwema atakaye nipenda mm na mvumilivu atakayependa wazazi wangu pia pamoja na familia yangu .

sambaboytz
sambaboytz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 04:28:00 GMT
169764
9318
388
262

Music

Download

Comments

junior_mkemia
JUNIOR MKEMIA :
UYU NDIO MKUU WA MKOA WA DAR ALIYEUWEZA HUU MKOA ENZI ZAKE
2026-10-07 15:01:51
91
zayna0h
zaynah💝 :
nipewe namba ya ba mkwe jmn😂
2026-10-07 11:00:09
18
shuu.shenkawa
Shuu Shenkawa :
Nikweii mzee aoee
2026-10-07 05:00:56
14
minah.ghera
Minah ghera :
mimi mjukuu wa mzee Ally msambaa kerenge
2026-10-07 11:55:26
28
alhaji.abdalah16
alhaji abdalah16 :
kaka kwa heshima sana Mzee alietupa heshima wasambaa mungu amlinde na kumpa afya njema
2026-10-07 05:13:47
42
tanzania.zaykaree
Mama Africa :
Jiji ma Makamba,Huyu Ndio Aliweza Jiji la dar
2026-10-08 05:57:34
11
fallykidoba2
Fally kidoba. :
mzee hajui siku hizi ndoa ni ujinga mtupu
2026-10-09 05:32:48
7
mohammedshaha24
plug ya guta :
kumbe hichi chuma kipo mashallah
2026-10-07 17:13:20
9
kipesa10
kipesa :
Baba bora Sana. ukwer unajenga
2026-10-07 17:02:36
5
user2991568751060
KAONAKA DAUDY :
jaman nimemc San huyo Babu makamba
2026-10-11 15:31:36
2
georgejokimos
georgejokimos :
mzee safii,
2026-10-08 10:19:07
1
tausi.nyika
Tausi Nyika :
sambaboy ghua tate akunda ughue
2026-10-08 08:06:56
1
pelisimhilu_106
pelisi mhilu :
jamn nisalimie Mzee makamb wauko kwetu
2026-10-07 08:37:16
6
bhoke248
Bhoke :
Ila Wasambaa wanaume ni Ma handsome sana..
2026-10-07 21:31:37
1
sufianihassan786
Suphiani pro4tional :
tunakukumbuka babu
2026-10-08 18:15:38
1
haaland3532
young koti :
mzee amasema unakula ugali wa mke wangu 😂😂😂😂 nimecheka
2026-10-07 16:55:25
5
user8411348087524
Veve :
God is good🙏🙏
2026-10-08 12:12:43
1
anifan593
Anifa 🥰🥰🥲 :
kumbe
2026-10-08 06:04:55
2
mwana.kipini
mwana kipini :
fanya uoe baba kasema
2026-10-07 10:13:58
3
chamky06
chamky06 :
wasambaa tupo apa
2026-10-08 04:21:45
3
nataria59
user4600924961961 :
mzee wetu makamba
2026-10-08 07:12:06
2
mama.ndiuka
🇿🇲Mama ndiuka🇿🇲🇿🇲 :
msambaa oa tunataka wifi😁
2026-10-08 12:04:00
2
nuhumlangwe
kisoria82 :
Kama hataki kuoa umri huo basi akubali kuolewa🫰
2026-10-09 08:32:27
1
liness.urasaa
linessurasaa :
Hosie iwe kuzachaaa🤣🤣 napenda kisambaa 🤣🥰
2026-10-08 18:48:54
1
minjamultbusness
MINJA MULTIBUSINESS :
😂😂Uoe mkuu
2026-10-08 04:52:04
1
To see more videos from user @sambaboytz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About