@bagerajackson:

Jackson Bagera
Jackson Bagera
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 05:08:11 GMT
12643
514
23
10

Music

Download

Comments

abluzikuchimba
ABLUZI KUCHIMBA :
yanga hajawai kubebwa na simba kimataifa maana tangu dunia izaliwe yanga hajawai kushika nafasi ya tatu kwenye ligi na kumbuka sheria na vigezo za caf ili timu ishiriki kimataifa ni lazima iwe bingwa au nafasi ya pili kwenye ligi huvyo yanga walijibeba wenyewe pia yanga ndio imeshiriki mara nyingi club bingwa hivyo simba nao wakawa wanawekeza ili kuhakikisha wanapata nafasi ya kucheza ama kushiriki mara nyingi alivyoingia mo akasajiri wachezaji wazuri na wakaanza kufanya vizuri kimataifa japo nyumbani walikuwa wanafungwa na mtani wao au kupata sare na kushinda mechi moja tofauti na yanga walivyowekeza na kusajiri wachezaji wazuri simba kapasuka mfululizo hivyo cha kukwambia hivi sasa simba wanajifunza kwa yanga ni jinsi gani ya kumfunga mtani mfululizo kitu ambacho yeye simba hajawahi kukifanya na cha mwisho ni kwamba katika hiko kipindi hapakuwa na timu iliyowahi kufika fainali yanga akafanya hivo simba nao wakajifunza na kufosi ili asichekwe na mtani naye akafika fainal japo matokeo kwa pande zote yalihuzunisha ila simba walipasuka goli 3 kwa 1 na watani wao yanga walitoa sare ya mabao 2 kwa 2 goli la ugenini ndio likawapa ushindi usm kule aljeria NI HAYO TU JAPO YAPO MENGI ILA WACHA NIISHIE HAPA
2026-10-07 07:19:02
0
user4710656237591
user4710656237591 :
Huo ni ukweli mtupu
2026-10-08 16:04:05
1
kassimndomba63
NICE BOY :
Ukofact brother
2026-10-07 08:44:54
1
mishy4536
Mishy :
Tuwasamehe mashabiki na wapenzi wa Yanga.. Wengine wamezaliwa kwenye familia ya YANGA...wamechanganyikiwa.. wanapitia stress... wanatamani kuhamia SIMBA lakini wanaogopa.
2026-10-09 16:39:17
0
patrick.phocus
kinyongo kihuja :
kumbe niwakati
2026-10-07 13:29:11
0
rajabujuma652
RaDj :
anajua nini sasa kaka
2026-10-07 16:06:40
0
user1453055282954
kerewe boy :
Pia ongela dhuruma ya yanga kwenda Nusu fainal zid ya mamelody mbm husem.nahc yanga ndo ingekuw tim kutok ukand huu kutinga nusu fanial club bingwa
2026-10-07 16:12:27
0
michael.focuss
michael focuss :
mbka lingi ilipanda lakini yanga anachukua kikombe lingi imeshuka shida nn
2026-10-07 22:35:32
0
user9369730462274
gwau :
keli kakaaaa😃😄😄😁mwambie
2026-10-17 11:01:45
0
user60385280495153
user60385280495153 :
Sasa huyo kevoo anabisha nini
2026-10-07 06:05:46
0
arasingo.misael
andrew.ngowi7 :
Kaka hata uwe na Degree vipi ukishazoe kuwa tegemezi ni sawa na FFF tu
2026-10-20 12:11:33
0
rashidi.fusi
Rashidi Fusi :
nyuma mwiko walikuwa nafasi ya 72
2026-10-27 05:23:58
0
januarywaarusha
January wa Arusha :
[Ya kuvutia][Ya kuvutia][Ya kuvutia]
2026-10-07 12:59:52
0
user1525825728611
abuu 0774704946 777 :
🙏🙏🙏
2026-10-07 06:16:30
0
khalidi.khamisi
khalidi khamisi :
😂😂😂
2026-10-07 06:36:20
0
user12352067703811
user1235206770381 jackson 21 :
🥰🥰🥰
2026-10-07 05:11:43
0
andemaliko
Andema Liko :
🙏🙏🙏
2026-10-07 05:24:31
0
mussa.koyesa4
MUSSA KOYESA :
❤️❤️❤️
2026-10-07 09:53:03
0
To see more videos from user @bagerajackson, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About