@prisca_nnko: 😆😆nilicheka hii story

Chica_fourteen
Chica_fourteen
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 05:45:58 GMT
127976
8820
675
212

Music

Download

Comments

lynncharles85
Lynne❤️🌹 :
That's called love bombing from a narcissist man
2026-10-07 06:04:00
24
officialdath2
🦋tee😘 :
me ukishaniuliza tu umevaa nin nakublock naskia asiraaa vp🥺
2026-10-07 07:47:49
588
it1smanasseh
It's Manasseh :
At all costs I stay away from TikTok men's. mmh mmmh hapana 😌
2026-10-10 11:29:19
0
cammilla661
Camilla667hk :
Sipendi mimi mwanaume mjuaji😂😂anaejifanya anajua mapenzi🤣mtu akiwa romantic sanaaa simpendi mimi😏
2026-10-07 09:05:13
272
leehouseofcake
leehouseofcake :
Makofi kwa ma overthink 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
2026-10-07 10:16:41
192
womenking911
Sally :
😂😂😂😂😂 nacheka san watu wanao waamini relationship therapist s
2026-10-11 08:34:07
0
happyness0288
happy🇹🇿🥰 :
kuwa overthinker Sometimes ni vizur unachambua Kila doti unayoiona
2026-10-07 08:04:09
47
angelmalo069
Malo :
Ooh my gwaad😅😂
2026-10-10 06:33:21
0
dee663721
Girls girls Africa :
Ogopa hao + watumishi 😂😂😂
2026-10-07 11:20:30
34
winlady6
Winlady💕💖 :
We acha tuuu nimechokaa[Tears of joy]
2026-10-09 13:53:08
0
newniramkiki
New Niram Kiki :
mimi mwanaume jaman akitaka nimsikilize ela jaman ela 🙌🙌🙌
2026-10-07 08:26:48
39
www.officialxuxher
🦋nixher🦋❤ :
overthinker tunapeleleza htr😅😅😅
2026-10-07 09:08:09
165
sia6214
sia :
Mm pia nilishindwa wanaume wa dar Yaani kila saa video call
2026-10-07 10:00:21
42
melissa.john637
Melissa John :
mi nae Sijui nimshamba ila mwanaume akitokea mtandao wowote simtaki hata awe vp
2026-10-08 16:32:05
10
msukumammoja4
Samiry Sammy♓️ :
Kwahyo Samir tu ndo Anatoa Ushauri TIKTOK NZIMA🙂🙂
2026-10-07 20:09:50
8
lisukumalawatu
Smart Boy :
mimi nilikutana Na dem wa hivo sasa... 😂😂 yule dem kwanza kaja na gia anafanya kazi wizara ya madini, ana magari 4 ana nyumba 2, hana mtoto... mara unaongea nae.. anakwambia nilikua naongea.. na waziri... 😂, hayo maelezo yote nimepewa ndani ya saa 2... siku hiyi hiyo.. sasa ghafla.. ananimbia nimetoka na laki 2 kwenye pochi imepingua. elfu 15.. nitumie kuna kitu na nunua.. nikifika nitakupa mara hapa ni mbali bank...😅 ile jamani watu... sasa mi mwenyewe mhuni.. nikajua hapa naingizwa kwenye mfumo.. sema nikawa nacheka maana huo mfumo alikua anaingiza mtu mwenyewe hiyo hela sio kwamba namnyima... nia kwamba sina na haipooooo...😅😅😅 dada siku ya pili nikamchana live nikamuuliza wewe una magari 4 huna elfu 15 sure..?😅😅 akanijibu kua wewe hunifai.. akani block mazimaaaaaaa😅😅😅
2026-10-07 13:41:35
7
jasyofficial0
Mommy🤍🦋mom🛍️ :
Me mwanaume ukisha niomb pesa tu tayar iyo ni red flag 🚩 😂 yan ata usem tu sijui jimepungukiwa weee umenikosaa😂💔🙌
2026-10-07 16:54:03
8
jescar.kalinga
Jescar praise👏 :
m mwanaume romantic sio vitu vyangu kabsa yani
2026-10-07 16:33:07
5
user6517457368863
glory mussa :
mwanaum muong siku zote huwa anajulikanagaaa me mwanaum akiniomb helaa namp mar ya kwanza ninampa ila akirudia mar ya pilii n red flag kubwa saan kwang uwa simpii nakimbiaaa jmn🤣🤣
2026-10-07 06:34:55
7
a.d.i.d.i.a7
ADIDIA❤️ :
😂😂😂Tuachane na hao watoa ushauri kuna hawa wanaohubiri mtandaoni😂😂😂🙌🙌🙌hawa church boys
2026-10-07 14:41:39
8
fettyjaffary1
Fettyjaffary1👣 :
Tajeni majina tupone wengine 😂😂😂💔
2026-10-07 06:24:57
55
ms.kalumuna
Ms.kalumuna :
Wenyeji wa mitaa ya tiktok wameshamjua ni nani😂😂
2026-10-07 08:48:30
98
dianaangelbert
Diana Angelbert :
me nilidanganywa amemaliza masters kumbe diploma 🙌
2026-10-07 06:36:14
46
user7918061694119
love 💕😘 :
yanii mm Niko n miak 23 single Yan mtu akiwa anajibebisha kwangu nasikiag hasira hat cjh kwann au akiniita my love ,sipend hat sielew
2026-10-07 11:35:20
6
halzer85
halzer :
huyu namjua 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅kmnina
2026-10-07 07:36:51
28
To see more videos from user @prisca_nnko, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About