@cianacollection: 😂😂😂😂😂😂😂😂 #fyppppppppppppppppppppppp #tanzaniantiktok🇹🇿 #cianacollection

Cianacollections 🛍🦋
Cianacollections 🛍🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 06:01:03 GMT
39352
1810
178
413

Music

Download

Comments

yohgurl.rica
𝓔𝓻𝓲𝓬𝓪 ᥫ᭡ :
JAPANA YAKIMBIA NA HELA YA MCHEZO😂😂😂
2026-10-07 08:44:47
180
aisha_mathias
Aysher🌹 :
Usiku wa kumsuta malkia wa uingeleza😂😂
2026-10-07 09:28:09
159
love.princess54
h@ppynation🤍🦋 :
utaskia tz leo wana uck wa chai😅😂😂
2026-10-07 08:33:17
38
prettyfaah56
😇princess-faah👸 :
TANZANIA YAGOMBANA NA INDIA KWA KUTOLIPIA PESA YA SARE YA HARUSI WAZIRI WA TANZANIA😂😂😂😂
2026-10-07 09:07:56
49
emeldaemanuel675
Emmy lady19 :
a🤣🤣🤣🤣🤣 ata deni lataifa tungelifanyia mchezo adi lingeisha🤣🤣🤣🤣
2026-10-07 08:28:12
69
mariannasamson825
mariannah :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]ingekua pambeeee[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-07 11:15:41
0
geemaya1
Grace💙♐️ :
kenya yadaiwa malejesho
2026-10-07 10:09:35
18
yasinta4303
yasinta :
mara bwana wa rais wa Dubai ninaelewa na nina tamba nae
2026-10-07 09:39:35
26
zayshan60
Zayshan👀💯 :
U.S.A YAWASUTA TANZANIA KWA KUCHELEWA KULIPA DENI LA TAIFA LAO
2026-10-07 10:45:31
11
sharfa808
shany🌹🪷 :
na mawazo yako bonge la idea unaonaje wanafamilia 😂👌
2026-10-07 10:31:13
9
haikaapple
Haika Apple 🍏 :
utaskia kuna shuhuli usiku wakuwanyari kenya [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-07 08:06:30
22
user6170314992617
wendy💗 :
mara kenya hawakukata sare zilizopita na sis atukat
2026-10-07 09:47:05
31
anwim26
Anelly❤️ :
mara kenya imeshindwa kurudisha mtunzo wa pesa tuliompa
2026-10-07 09:10:42
12
user3170321760355
Amwaly :
na tazinia tungukuw tunashinda kwa kibao kata 🤣🤣🤣
2026-10-07 10:32:47
6
dadawarzein
fifiy💜 :
Na sisi Tanzania ndy tungekua na strong army kutoka Tanga na Dar👌
2026-10-07 10:33:51
6
tripple_m05
Mercy_♡🌸🧸 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] Kwa kweli vita vya maneno ty
2026-10-07 06:54:37
2
caristajoseph
Carister🥰♥️ :
Cjui umewaza nn lakin kuna kaukweli tungekua hatuongeleshani ni mwendo wa kuchambana tu🤣😂😂😅🤣🤣🤣🤣
2026-10-07 08:32:19
18
esterbeauty_1
Esterbeauty-saloon :
nimecheka bila kikomo
2026-10-07 09:40:29
8
user7697248136593
Haika 🥰😍 :
mala vijora vya sale vimeish Tz vp zambia
2026-10-07 07:57:36
18
hilimarajohnmapunda
mayah :
Yan utaskia Tanzania yaiambia Kenya unavyotaka na mimi nataka na unavyokuja ndio ntavyo kupokea
2026-10-07 10:22:37
7
maleka8347
firstborn❤️🫦 :
kenya na Tanzania wapatane apo mpakani wapigane😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-07 08:51:54
12
laylaah52
Laylaah :
wallah nmecheka🤣🤣🤣🤣
2026-10-07 10:51:34
0
baby.lee48
Baby lee :
Australia yakataa kukata sare ya kenya😂😂😂😂
2026-10-07 10:58:09
2
edina.kenani2
edina kenani :
utasikia Tanzania mwezi wa 12 tunajambo letu😂😂😂😂😂
2026-10-07 11:32:51
2
momuzairy
Mom3@ :
watoa post sijui mnafikiriaga nn mtaua sisi wazembe wa kufikiria 🤣🤣🤣😂😂😂
2026-10-07 11:07:53
2
To see more videos from user @cianacollection, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About