Hii ni ukweli, hata kuna in laws hawawezi kanyanga kwangu.
2026-10-07 07:02:15
1965
🦋IMMAH❤️💦 :
Hii nayo n ukweli mm nami n kichwa mbaya akiinua Kofi nainua glass😂 .. and we're happily married
2026-10-07 06:56:04
985
lizz :
ndoa haitaki mtu mpole😂
2026-10-07 14:12:33
584
GeehKaaya✨ :
Me I can testfy 😂😂😂mana nikiaza kua submissive ana misbehave nikikua wazimu ndo ana behave😂😂
2026-10-09 19:06:05
2
ma.Jb❤️ :
wangu ananitusi nimuhandle aje,was also planning to start being a gangster,,
2026-10-11 14:38:23
0
phylis wambui :
mimi ni girlfriend lakini ananiitanga museveni😂😂
2026-10-07 13:28:49
333
DICTATOR 🇰🇪 :
Na msisahau kurevenge.. akicheat , cheat back na kaa ako na female friends have male friends too 😂
2026-10-07 09:09:04
634
luhya gal❤️🩹 :
sii uongo sometimes nalipukanga kama gas😂
2026-10-07 11:39:52
255
@minakhana :
Hahaha zile comments nimesoma huku wallahy🤣🤣
2026-10-09 20:35:13
1
annmbinya141 :
thank you bro....two term
2026-10-11 12:01:11
0
Jamag The 1st Lady✅ :
me after kuwa kichwa mbaya for just a week
2026-10-07 12:03:23
116
user3315453367918 :
Thanks brother, NEVER TALKING TO inlaws
2026-10-11 13:16:26
0
Samantha 😢😢😢😧 :
😁😁ata nyumba n yake lakini akichelewa by sa moja anapiga sim kujieleza 'aky usinifungie mlango niko kwa jam🤣🤣🤣
2026-10-07 11:28:14
264
metty1228 :
na hivi ndo najitrain sai before niingie uko🤣🤣
2026-10-09 21:55:09
2
Rose Otieno🥰😘 :
wangu alikua na tabia mbaya eti tukipika nyama ama samaki anaanza makelele ndo nisikule...wueeh tangu nizisoak kwa maji na nikatapikia ingine..wueeh hua anamake sure siku ya vitu za supu ananiongelesha vizuri ndo mwishowe tukule chakula mzuri
2026-10-08 14:20:56
5
dama (united) :
stawahi enda kwetu juu ya mtu mm amah kulia🤣🤣🤣🤣🤣 never
2026-10-08 14:01:52
6
Vonetta Atieno Voutilainen :
This is too much, just marry your bestfriend.
2026-10-07 15:53:59
49
EVELYNE KEILA❤️💕 :
Mimi ata In-laws wananiogopa 😂😂 I once told them that I'm not normal😂
2026-10-07 19:27:57
174
maureenwambua2 :
ukifuata hiii make sure unapendwa hamko pamoja juu ya watoto
2026-10-07 13:00:36
115
Qui :
Ukuwe kichwa mbaya na ukuwe na pesa. Bila pesa utatoa kichwa ngumu aje. I always pray for blessings of finances to every married woman.
2026-10-08 06:23:26
7
Seleste :
Wangu alirudi late friday, Saturday nkabebana na watoto, wakarudishwa sunday na house help wa my cuzine, me nikarudi usiku yake nikiwa as high as a kite🤣🤣🤣🤣wamama hoyeeeee
2026-10-07 11:20:40
192
sarah❣️ :
Mimi 13yrs hajawai ona machozi Yangu ati juu tumekosana...kichwa ngumu is my second name 😂😂
2026-10-07 08:52:49
94
Beryl morgan :
wangu anajua....mimi ni mchawi
2026-10-07 10:34:23
82
To see more videos from user @joshmtetezi, please go to the Tikwm
homepage.