haya anaejua kiarabu aje anisaidie kuandika hiyo barua nikapumzishe fuvu langu nimechoka jamani🥺
2026-10-08 06:24:09
0
asha_yusuph :
mapema tarehe 15 mwez wa 12 naenda kupimzika😂😂😂
2026-10-09 19:49:53
0
thebosslady988 :
Naomba nipatiani fundi mkali sanaa wa suti za kushona stlye ngumu ngumu za kike na ambaye hataniletea maringo nataka nguo zitakazostua moyo wangu tafadhi nipo Tanzania❤️❤️
2026-10-07 11:49:14
1
Christina Kimbe :
uwiii
2026-10-07 13:31:59
0
Miss❤️ :
Sawa nitasema ila nikirudi Sina kazi 🤣🤣
2026-10-07 10:51:17
1
dorry01 :
Andiken nije nimtumie kwakwer
2026-10-07 09:07:52
0
Anna john :
Tutanunuaje na umetutuma tukawaambie maboss hivyo
2026-10-07 08:40:22
0
Rosemary Lema :
Ayaa tuponze😂
2026-10-10 13:44:04
0
Hassan Gunguti :
Sio utani me sipendi likizo za kupangiwa niamue mwenyewe
2026-10-07 09:15:06
0
kenny laizer :
endelea tu kutuponza jmnii😂😂😂
2026-10-07 08:58:49
0
Crownjourney 👑 :
Kazi ya GenZ😂
2026-10-07 08:53:46
0
Tiffahn :
Ila huyu atatuponza 😂😂
2026-10-07 07:18:59
0
To see more videos from user @katango79comedian, please go to the Tikwm
homepage.