@bongo.trendingtz: Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa wameshindwa kujizuia kwa huzuni na kutoa machozi wakati wakimuaga aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Bw. Khalid A. Khalif, baada ya kuhamishwa kutoka Nyasa kwenda Ludewa. Tukio hilo limebeba hisia kubwa kutokana na ukaribu na ushirikiano mzuri uliokuwepo kati ya Khalif na watumishi wa Halmashauri hiyo katika kipindi cha uongozi wake Nyasa. #tanzaniantiktok🇹🇿 #creatorsearchinsights #kenyantiktok #bongotrendingtz #ugandatiktok🇺🇬

bongo.trendingtz
bongo.trendingtz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 07:07:16 GMT
16214
190
21
25

Music

Download

Comments

malafyale45
malafyale :
imagine mke wako
2026-10-07 14:18:42
4
usermsangi
MSANGI JINA KUBWA(HIYANI) :
nikweli kabisa halali yake,wapo wakurugenzi wengine kwakweli wakihama wanaliza wengi.mfano mkurugenzi wa wilaya ya kilolo lazima watumishi wengi wataumia,mkurugenzi wa iringa manispaa..yaani ni viongozi wazuri,wanachapa kazi,hawapendi umbeyaumbeya,hawapendi kuumixa wengine,yaani wanafanya kile walichoagizwa na Mheshimiwa Rais.
2026-10-07 15:49:04
3
fransiska_londo6
__siska__ :
Hongereni
2026-10-08 04:44:47
1
loyalityamadra
user3146467619932 :
Maboss wanatutesa sana tukipata boss mzur, akaondoka inauma sana. Boss wangu alininyanyasa mimba zikatoka mpaka. Akaja boss mwingine anatembea na wafanyakaz wenzangu me ambaye sifanyi Nikawa sipew kazi. NAWAELEWA NAWAELEWA INAUMA SANA ANAKUJA MTU UNAONA HUYU ATAKUVUSHA ALAFU ANAONDOKA . Inauma inauma
2026-10-07 19:16:15
1
user3415904086017
user3415904086017 :
Mkurugenzi Mungu akuinue zaidi ya hapo,ni kijana lakini amekuwa mlezi bora.
2026-10-07 12:29:21
2
dazuuclo
@da zuu_clothing Mwanza1 :
Anaekuja hapo lazima ajifunze kitu
2026-10-07 20:12:22
0
chugachugastan5
Chugachugastan :
nitajuaje sass
2026-10-07 13:41:59
0
user7981914943659
Helena :
Noma sana
2026-10-07 12:11:31
0
user8507085556092
user8507085556092 :
kuna viongozi wamelelewa na wazazi wao wamefundwa msiwaze mapenzi tu
2026-10-07 15:15:35
0
amina.kalisa7
Amina Kalisa :
huyo aje na kwetu
2026-10-08 10:03:33
0
machembajulius
Machemba Julius :
yaan mke wangu alie kisa mkurugenzi kahama aiseeeeee pasingetosha
2026-10-07 21:07:09
0
user1384515630261
jumanne ngwila :
hongera sana mate kwa Huduma ya kutukuka kwa watumishi wenzetu huo ndio ungozi, nakutakia heri katika utumishi wa watu na ulio tukuka!
2026-10-07 16:31:53
0
venture8181
venture8181 :
mmmh analale huyu analiaje hivyo
2026-10-07 16:58:24
0
dada.mkubwa5
Dada Mkubwa :
hivi kahamia wapi vile? ila boss bwana so ndo anajikuna tu mda ote
2026-10-07 18:34:42
0
big.thinker89
BIG THINKER :
n dini gan mkurugenz?
2026-10-08 06:16:38
0
carolinendunguru
Mwegelo@caroline :
mkurugenzi anasmile mwenyw😂🤣🤣
2026-10-08 08:58:13
0
To see more videos from user @bongo.trendingtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About