@uhuruonline: #MICHEZO : MENEJA Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametangaza rasmi viingilio vya mchezo wa ‘Derby’ ya Kariakoo dhidi ya Yanga SC, utakaochezwa Oktoba 10, 2026. Kwa mujibu wa Ahmed, kiingilio cha Mzunguko kitakuwa Sh.20,000, huku mashabiki watakaotaka kukaa VIP wakitakiwa kulipa Sh.50,000. Ahmed amesema maandalizi yote ya kiufundi na kiutawala yamekamilika, huku Simba ikiwa tayari kwa mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini. Derby hiyo ya Kariakoo inatarajiwa kuwa miongoni mwa michezo mikubwa inayovuta hisia za mashabiki wa soka kutokana na ushindani mkubwa kati ya timu hizo mbili kongwe za Tanzania. Mchezo huo utapigwa saa 1:00 Usiku. #videoAzamTv #burudani #sports
uhuruonlinetz_
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 07:27:57 GMT
Music
Download
Comments
Ernest :
mbna Kama nimesikia elfu kachanganikiwa kabla ya mech
2026-10-08 20:18:25
0
ERASTO MSOMA :
vp napataj tiketi
2026-10-07 13:58:08
0
Alliens power :
hata ukisema laki tunaingia mnaweka bei ili tusiingie uwanjani tunaingia na hiyo elfu 50000 hela ndogo sana
2026-10-07 12:31:57
0
😁THOMAS family🐷 :
wakazie semaji letu
2026-10-07 09:29:22
0
Kodomi Glory :
mh
2026-10-07 10:46:56
0
ERASTO MSOMA :
natafuta ticket mtandaoni
2026-10-07 13:59:06
0
king masai :
[Pray][Pray][Pray]
2026-10-07 20:12:56
0
Sandiko Mole :
🥰🥰🥰
2026-10-08 02:24:18
0
To see more videos from user @uhuruonline, please go to the Tikwm
homepage.