@bi_halima3: 📚Mtume Muhammad ﷺ alinishika mkono na akasema: “Naapa kwa Allah, hakika mimi ninakupenda, Ewe Mu‘adh. Ninakupa Usia/Maelekezo haya: Usiaache kusoma dua hii baada ya kila Swala ya Faradhi: Allahumma A‘inni ‘Ala Dhikrika, wa Shukrika, wa Husni ‘Ibadatik. Mu‘adh naye alimpa usia msimulizi Al-Sunabihi juu ya dua hii, na Al-Sunabihi akampa usia Abu ‘Abd al-Rahman juu yake. Sunan Abi Dawud, 1522 Kwa mujibu wa mafundisho ya Mtume ﷺ, mara tu unapomaliza Swala ya Faradhi, jambo la kwanza ni kuanza na adhkari zilizothibiti baada ya Swala ✅ Astaghfirullah — mara 3 ✅ Allahumma antas-salaam, wa minkas-salaam, tabaarakta yaa dhal-jalaali wal-ikraam. ✅ Subhaanallah — mara 33. ✅Alhamdulillah — mara 33. ✅Allahu Akbar — mara 33. ✅ Laa ilaaha illallaahu wahdahu laa shariika lah, lahul-mulku wa lahul-hamdu, wa huwa ‘alaa kulli shay’in qadiir. ✅ Kisha soma Ayatul-Kursiy ✅ Kisha soma dua aliyomfundisha Mtume ﷺ Mu‘adh bin Jabal: Allahumma A‘inni ‘Alaa dhikrika, wa shukrika, wa husni ‘ibadatik. #islamic_video #islamicreminder #islamiccontent #fype @Halima Ramadhan @Fatuma Ally
Ukhty_Halima
Region: MY
Wednesday 07 October 2026 07:30:28 GMT
Music
Download
Comments
shamy :
ya Allah help me to remember you ,to be grateful and to worship you in excellent manner 🙏
2026-10-08 05:14:03
0
Ummu glamour Artist💋💄 :
Alhamdulillah namshkr Allah
2026-10-07 15:06:40
3
user439248485349 :
Amin
2026-10-07 13:00:13
1
swaumu mapondanga84 :
Ameen
2026-10-07 12:34:11
1
kamote abdy :
allah akbar
2026-10-07 14:27:05
1
HAMMY 4⃣2⃣ :
Allah
2026-10-07 12:39:28
1
Mr smilley🥰 :
Allahu aqibar🤲
2026-10-08 07:03:59
0
rustaq42 :
Allahu akibalu
2026-10-08 06:03:40
0
Sophie Jeffery Tz :
Daaah nilikua sjh kuanzia leo najuaa Allah anisamehe inshaallah
2026-10-07 19:19:03
0
user1022197794065 :
amiin
2026-10-07 19:10:46
0
zamdaasfsiw :
Amiin
2026-10-08 02:58:27
0
#Hustler 507# :
Allahumma amiin
2026-10-07 19:24:32
0
Abdallah seif :
mashaallah
2026-10-07 08:31:46
0
Abdi ysusf :
Ameen Ameen
2026-10-07 15:41:13
1
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
Allah Akbar
2026-10-07 15:13:26
2
Ahmed Shilo :
Allah akbar
2026-10-08 00:26:28
0
Mrs🦋shariff🥰❤ :
amiin
2026-10-08 00:52:58
0
rehema1994@ :
Amiin
2026-10-07 19:35:54
0
fthm_4 :
ameen
2026-10-07 18:14:26
0
Zawiya Aliy :
Allah akbar
2026-10-07 16:48:21
0
latipha 💜💜 :
ameen
2026-10-07 16:48:12
2
kiyombo :
Ameeen ameeen ameeen ameeen
2026-10-07 19:03:35
0
N@❤️n@❤️💋 :
Amiin
2026-10-07 18:45:36
0
c.h.u.n.a🍭🦋 :
ameen yarab
2026-10-07 18:29:24
0
Chiku Yusuph :
mashallah
2026-10-07 09:33:15
1
To see more videos from user @bi_halima3, please go to the Tikwm
homepage.