@bible.study.discu: Mungu anaongea kupitia watu wanaotuzunguka. Asante Mwalimu. *Karibu Bible study Kila siku ya Jumamosi Jioni Delcafe Esso saa 11:30-2:00 usiku kila jumamosi Bible Study with a cup of Coffee, Karibu ujifunze ukue, Karibu tujadili, karibu tushiriki, Karibu tufurahi, karibu tuombe pamoja, Karibu tujenge network mpya na Karibu na rafiki yako!! Na MUNGU akubariki!! Kijana wa kiume karibu na kijana wa kike karibu usijifungie ndani!!* #biblia #bibliaviral #biblestudymoments #mafundishoyanenolamungu #creatorsearchinsights

Bible study & Discussion Mbeya
Bible study & Discussion Mbeya
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 07:44:35 GMT
51202
8225
124
137

Music

Download

Comments

grolyvaneyoscar
Double s♥️🦋🦋 :
mungu bariki nasisi wa mbinga tupate kikundi 🥰 kama hvii
2026-10-08 06:30:08
5
ben.105284
@Bensoul :
am so very impressive na hii joint ya bible discussion... kama Kuna WhatsApp group add me there 🙏🙏🙏🙏 God bless you sana guys
2026-10-07 21:37:54
0
jekonia.willison.l
JEKONIA willison lazaro :
mungu awbarki na Taman kuwa kwenye uwepo wa mungu kama huu. inapendeza sana
2026-10-08 12:50:22
7
reddy_lings
reddylings :
One can find a wife here surely 😊
2026-10-08 05:27:45
2
mabebeza.26
Merkzedeck.026 :
count me in from today🙏 nipo mbeya na sijawah fika😑nimejiskia vibaya sanaa
2026-10-09 10:48:40
4
siryasam9
SAM THE GREAT :
mbn huku kwetu hakunaa watu kama nyinyii .......mko wapiiii
2026-10-08 17:42:47
1
4714travc
🎀,,,Dorc :
jaman hakuna group Kwan kwamba na ss tulioko mbali tuka share Kwa nanma moja kama lipo naomba mni add🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-10-08 06:56:39
2
joozytronic2
JOOZYTRONIC2 :
hii huwa inafanyika lini na mm niweze jiunga
2026-10-08 09:03:03
1
kimafujr
kim kimafu JR :
Amina sana
2026-10-07 19:44:12
1
nerdytz12
nerdytz12 :
🙏 amy
2026-10-08 13:57:23
1
godblessswai5
$mart boy :
good 👍
2026-10-08 13:37:25
1
negobread7
Jesus is Coming :
i want to join the discussion. mnapatikana wapi
2026-10-08 13:38:14
0
atu_tondo2020
Atunyo :
ni kila jumamosi au?
2026-10-08 20:32:30
0
brains.03
Brains 03 :
amen
2026-10-07 19:04:43
1
drick.matter
Drick matter :
ni wap ndugu zangu
2026-10-08 17:22:48
0
composurexl
Composure✨ :
mnakuaga wapi
2026-10-08 06:02:23
0
graymo211
gray mo :
mnapatikana wapi
2026-10-08 06:20:19
0
pollyanna9622
❀🅟︎🅞︎🅛︎🅛︎🅨︎❀ :
nmependa 🥹🥹🙏🏽🤍
2026-10-08 13:53:25
0
pastor.sangala
pastor sangala :
naomba niunganisheni na huyo nabii wa kike atanifaa kwenye huduma yangu 🥰
2026-10-08 09:22:39
3
blessedgirl784
Gifted girl🌹🌹 :
Mnapatikana wap
2026-10-08 00:03:00
0
david.anseth
David Anseth☘️ :
Nataman kujoin namm piah! Nataman niwe na Marifa mapana ya kristo 🙏🙏
2026-10-07 19:29:30
1
fatherrhaegar
FatherRhaegar :
we need to see this often
2026-10-07 22:45:49
2
denho198
Denho19 :
YESU tokea kwa watu wake namna tofaut so mhm kuamin na kua msiri kma mtu wa mungu
2026-10-07 23:13:36
2
madam.anna2
BINT SAYUNI 🥰 :
AMEEEN
2026-10-10 07:14:48
1
emilianaaura
Emiliana Aura🧚🏼‍♀️ :
Dada Anna❤️❤️
2026-10-07 20:56:38
0
To see more videos from user @bible.study.discu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About