@diblomaster1: Ujumbe huu uende kwa makamanda wa jeshi la POLISI ZANZIBAR 🙏🙏#videotrendingシ #zanzibar🇹🇿 #tanzaniatrendingvideo #mombasatiktokers #creatorsearchinsights
team vespa mawazo yalio shiba Ayo maombi yafike kwa raisi
2026-10-07 09:42:51
24
malik_zein_mohd :
watufikirieeeeeeeeee
2026-10-07 19:55:25
0
BIN SEIF18 :
kwan wanaotowa leseni ni POLISI au ZRA
2026-10-07 09:16:19
3
Prince 👑 :
Points lkn sio serekali ya mapinduzi 🤔
2026-10-07 10:21:28
12
sameer_ally :
Asantesana
2026-10-07 09:15:07
0
Abdalhamid Khamis :
Ww asaaa umesema faza
2026-10-07 09:33:08
6
yeye_eh :
Sio kazi ya polisi kutoa leseni au kukuweka darasani kukufundisha driving. Kuna driving schools hio ndio kazi yao
2026-10-07 09:53:29
1
. :
Wanosimamia utoaji wa leseni sio Jeshi la Polisi tatizo
2026-10-07 09:13:29
1
Dj rozey :
askar hawez fanya ivyo, wao furaha yao kuogopwa na raiya na wakifanya hivyo watakosa pesa za rushwa lkn pia brow askar hawahusiki na hicho kit, kuna wizara maalum ya hayo mambo lkn ujumbe ushafika
2026-10-07 15:37:48
1
mkasaba_007🇰🇪 :
hhhh uhakika broo
2026-10-07 08:54:20
5
Hassan Long26 :
kwa nchi gan
2026-10-07 08:55:33
2
Masoud 🦅 :
sema wanangu hii tui like na tui shee ifike mbali
2026-10-07 10:27:09
3
Ibra_aljahdhamy :
kweli licence gharama sana
2026-10-07 10:54:57
0
Øby :
Bro apo kupata leseni watakwambia uende ukasome utasoma miezi 3 siku ya mtihani unafeli na leseni huipati tnazungushwa [Fire]
2026-10-07 11:39:32
2
Depay 😎 :
uhakika kk 💯
2026-10-07 09:24:37
2
userabubakar :
nikweli leseni ni ghali sana napia hwakupi wanakufelisha mtihani ili utoe pesa tena na hawanahuruma na sisi maskini
2026-10-07 09:03:33
2
mzungu Kichaa :
oya kak umeongea uhakika sana nakubai
2026-10-07 10:33:52
2
YANSIKH :
Uhkika iyoo
2026-10-07 08:23:09
1
M💯 :
Kweli kinachotushinda pesa ni kubwa na tuna majukumuuu😭😭😭
2026-10-07 09:28:15
2
mlatino :
bab uhakika umewaza mbali broo
2026-10-08 09:15:41
0
Baby kidoti :
jeshi la polisi halitowi leseni mdogo wangu hiyo ni wizaraa nyenginee polisi ni wasimamizi wa sheriaa tu na sioo kutoaa leseni
2026-10-08 09:00:44
0
Ryzo 😎 :
uhkk
2026-10-08 10:34:42
0
To see more videos from user @diblomaster1, please go to the Tikwm
homepage.