@mchb_official: Kuna muujiza huku🔥🔥🔥 Watoto wa @tusiime_schools wametofsutishwa sana 🙏🏽🙏🏽 @i.j.a.n.g.o videos.

Mc Hb Michael Kamugisha
Mc Hb Michael Kamugisha
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 07:51:28 GMT
324784
44909
1392
1037

Music

Download

Comments

baby.g0781
baby g ❣️ :
Ee Mungu muepushe kijana huyu na Ireen
2026-10-07 11:35:38
505
rkc.mom
Rkc mom :
iko nguvu ya Mungu ndani yake🥰🥰🥰
2026-10-07 08:48:36
600
queen.kawishe
Queen kawishe :
mungu bariki tumbo lang ujanijalie mtoto mwenye hekima kama fidunda
2026-10-07 10:05:44
326
emmanuel.robert293
mr chance :
uyu kashatengenez mazingila ya kuchukua ela zetu badae[Tears of joy]
2026-10-07 10:11:31
168
reginakuzenza
reginakuzenza :
nawaungamanisha watoto wangu na neema hii
2026-10-07 09:18:07
314
ginerplayboy
ginery gr :
ata mimi nilikuwa ivo nashangaa saivi najiita 45
2026-10-07 12:41:27
75
sonia.manyanda
sonia Manyanda :
SAUTI YA MAMLAKA.
2026-10-07 09:41:37
95
tumaini.tumaini88
Tumaini tumaini :
kwa kweli wewe mtoto umefanyika Baraka kwa Taifa letu la Tz
2026-10-07 11:18:54
65
rey.ngelesi
Rey Ngelesi :
nani mwingin ameon video za harmonize
2026-10-07 09:24:09
1
bossah__vanessa
bossah__vanessa🌹🌸🌻 :
Nani kamuaribu mtoto jmn
2026-10-07 09:22:36
37
clayton.mzava
Clayton mzava :
mm nina miaka 28 kuongea kwenye maiti siku ile nusu nianze kuaga badala ya kujitambulisha😂
2026-10-07 09:33:05
72
dr.joh1
Joh :
good talent good mentality good with everything!! 🥰🥰
2026-10-07 10:43:17
3
uriograce309gmail
[email protected] :
mungu akulindee na atunzee kipajiii chako mtoto mzuriii
2026-10-07 08:31:34
49
angel.amani78
Angel Amani :
wow has been blessed 🥰🥰
2026-10-07 10:46:03
2
hidayaandrew2
jackrine mhanila :
naungamanisha watoto wangu na baraka hizi
2026-10-07 09:14:16
65
nerryabel
Nerry Abel :
Nawaunganisha watoto wangu na Neema hii,Amen🙏🙏
2026-10-07 10:02:00
35
tkjoduv0ic78dq
Elly :
adi nasisimka..Barikiwa mnoo.
2026-10-07 09:12:49
26
restituta.philipo4
JOJO REST :
Ameeeen Fidunda
2026-10-07 09:56:45
3
kichunana5
Kichunanah🥀 :
nilikuwa kama huyu wakaniloga
2026-10-07 14:01:43
10
mariamujuma01
Mariamu Juma559 :
sauti ya kinabii eee mungu wangu nipe na mm wa hivi 🥰🥰
2026-10-07 08:40:00
35
bbyboss97
Little queen💖🍫 :
Kataperi kamiaka ijayo 😁
2026-10-07 11:48:34
13
user3080340859978
user3080340859978 :
Linda kipaji chako shetani asije kutushangaza
2026-10-07 09:19:40
35
brayson.blasius
Brayson Blasius :
yupo darasa la ngap au cjasikia vizur😂
2026-10-07 10:00:06
26
official.tiffah.t
Tiffah♥️🧸 :
sauti ya mamlaka God bless him🥰
2026-10-07 13:25:57
7
odiliambwambo3
odiliambwambo3 :
sijui mama yake anajisikiia faraja ya nanmna gani aisee Mungu akutunze mtoto mzur
2026-10-07 10:11:23
35
To see more videos from user @mchb_official, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About