yaani we go to work smelling odour if one sweat au
2026-10-07 15:36:05
3
Baddie :
ya Allah guide as to the right direction.
2026-10-08 12:49:02
0
Amina Kazigo :
WAISLAM WENZANG TUSIACHE SWALA
2026-10-07 18:07:10
39
Chef Maliha Mohammed Official :
may Allah swt guide me and us all ameen
2026-10-07 14:58:34
19
mum suu 🇰🇪🇴🇲 :
Nawaweka Shahid kila atakae soma comment hii ya kwamba" Hakuna Mola apaswae kuabudiwa Kwa haki ila Allah(SW) na Muhammad(S.A.W) ndiye mtume wetu.
2026-10-07 17:03:25
26
salmah alex :
may Allah forgive as
2026-10-07 17:05:27
0
Mariamu Salehe :
😭😭😭 kwishaa mm yarabbi nisamehe mm siwezagi kutoka bila manukato
2026-10-07 16:21:34
18
@cadette da LastBorned :
Yaa Allah,kila Mara somo hili linanigonga,naomba unijalie mume mwema wakupakia manukato hayo 🤲🤲🏻🤲🤲🏻🤲🤲🏻🤲🏻
2026-10-08 05:46:25
2
salam :
subhanallah mungu tuongoze
2026-10-07 09:49:29
14
salha.salim :
Yaa llah atusameh na kutuongoza kwenye nguzo inayo stahiki ya kiislam
2026-10-07 23:16:11
6
a Muslim girl(Tatu) :
alhamdullillah Kila lililokatazwa na Allah alijawa sehemu ya maisha yangu. alhamdullillah.
2026-10-08 10:25:32
4
iteclo :
ohoooooo baasiiii Apo kwa manukato Allah atusameh yarrab
2026-10-07 18:26:27
4
Ukhty asira :
shukran shekhe kwa ukumbusho allah akulipe kher mm huku naitwa mshamba naambiwa we ni binti jipulizie manukato jipambe mda wakutoka nasema staki nikivaa hijabu naambiwa nijizeesha mm ni binti mdogo et nitakosa wakunioa nawajb siwez kumkosa allah atanilete mwenye kuendana namm siwasikiliz hata kidogo namuomba allah aniongoze
2026-10-08 13:39:30
2
mwanamkotatz :
naomba kuuliza ukipaka manukato ukiwa unaenda mskitin je nimbaya
2026-10-08 15:58:03
0
millah :
Subhanallah hapo kweny Manukato doh subhanallah allah atusameh wallah🥺
2026-10-07 16:11:13
7
mamta66 :
mtihani wallahi mungu atuongoze
2026-10-07 12:25:30
6
Khadijah Khamisi :
mungu atuepushe inshallah tuwe kwenye njia iliyonyooka
2026-10-07 14:24:57
6
salama saidi :
ishaallah tuwe na mwisho mwema
2026-10-07 17:10:37
3
swana swana :
Allahhu Akbar
2026-10-07 13:46:05
2
Nzeyimana KHafusa :
Subhanallah
2026-10-07 16:26:14
2
Najma :
na kama sijaolewa kuuliza tuu
2026-10-07 13:57:36
3
salhia🦋🤩 :
kuusu manukato nilikatazwa nikaacha kabisa🥰🥰🥰
2026-10-08 14:32:09
1
Sia Bonga 14302 :
Subhanallah Allah atujaalie mwisho mwema 😭
2026-10-07 16:43:49
2
rustaq42 :
Allahu akibalu
2026-10-07 13:42:18
3
ysha karata :
Ya Allah tujalie mwisho mwema
2026-10-07 16:54:15
1
To see more videos from user @naupenda.uislam, please go to the Tikwm
homepage.