Mashallah Allah barik nimejifunza vizuri juu ya hiyo sijda maana ilikuwa ya nichanganya Sana...
2026-10-07 12:23:07
3
me20's :
ni maneno gani. nasema nikikumbuka nimesahau nataka kurudi kulipa
2026-10-07 12:30:57
2
Haji Mohamed :
je? kama mtu hawezi kusimama labda anaumwa aka kaa chini je anatakiwa kufanyaje wakat kusimama ni miongoni mwa nguzo za swala
2026-10-07 15:37:46
2
siti salua :
Asalm alykum akhy nlkua naulza kila kikao cha taiyatu unatakiwa umswwlie mtume au nikile kikao cha mwisho ndio inatakiwa umswwlie mtume
2026-10-07 18:08:34
1
Abu Ibtisam Gamoyo :
Jazaakallahu khaira [Pray]
2026-10-07 15:51:18
1
user54143092044802 :
shukran ostadhi kwakutukumbusha Allah akulipe kwa ulipo tufundisha innshaalah 🤲
2026-10-07 14:34:24
1
akilikumkichwa :
Hivi ikatokea umesahau na badala ya kuswali sijida sahawi ukairudia upya swala hiyo itakuwaje au usahihi wake ukoje?
2026-10-07 11:29:43
1
abdulkalimmnyolokoto089@gmail. :
nakama kwenye swala lakaa moja ukasujudu malamoja alafu ushatowa salam teyali unakumbuka unafanyaje hp
2026-10-07 12:39:49
1
Mom🥰 :
naeza kusujidu wakati nemaliza ama n vp
2026-10-07 11:14:45
0
master je big :
swadakta Allahbarik
2026-10-07 21:26:08
0
Riziki heena :
naukikubuka ukavunja swala alafu ukaazatena nisawa ama sisawa
2026-10-07 10:47:36
0
ticha :
Kama ushamaliza kusali kisha ukakumbuka umesali rakaa tatu badala rakaa nne kama sala ya asr
2026-10-07 11:49:19
0
@Mpollo :
Inshaalah
2026-10-07 22:18:55
0
الإعلام_الإسلامي :
Asalamalaikum sheikh, Mimi nina hali ya mda mwingine niki sahau hiyo kikao cha atahiyatu kwakusahau,naa ikifika katika kukaa kikao cha mwisho nikimaliza kusoma atahiyatu najikuta nimeisahau tena hiyo sijdatu sahwi ,hapo natakiwa kufanya nn ?
2026-10-07 14:53:10
0
Yunus Kb :
natofautiana na Sheikh, kwenye sijda ya kupunguza kitu (nguzo), mfano naswali swala ya rakaa 4, katika rakaa ya kwanza nikasahau nguzo mojawapo, nikaja kumbuka nikiwa rakaa ya 4, je ni kweli kuwa nitatakiwa kuichomeka ile nguzo niliyosahau??
kwa ninavyojua mimi, nitaendelea, nitoe salamu, kisha nitaifanya ile nguzo nilosahau, kama ni rukuu, sijda au vyovyote, alafu kabla ya salamu, nitaleta sijda ya kusahau.
.. Allah wa Rasul a'alam
2026-10-07 11:28:49
0
sona :
Asante Allah akulipe kwa hii elmu uliotupa
2026-10-07 21:08:56
0
Maimuna Said :
swadakata 🙏🙏 sukuran Sana
2026-10-07 22:23:40
0
rashmmy.peni :
Shukran kwa ilmu sheikh
2026-10-07 13:09:30
1
ramadhanmsangi323 :
kama kusimama ni nguzo Sasa je, wale wanaposwali kwa kukaa je, hawana swala? na nguzo za swal zipo 10 au 14? naona zimetajwa 10tu hlf Kama ikiwa nimeikumbuka nguzo niliyouacha kwny rakaa ya kwnz NAMI nikiwa nimeshaingia kwny rakaa ya 3 natakiwa nirudi kulitekeleza ile nguzo Kisha nirudi kwny rakaa yangu ile ile ya 3?
2026-10-07 21:57:14
0
K.A.M :
shukran safi sana
2026-10-07 22:20:41
0
El Capitano :
Masha Allah maelezo yamenyooka
2026-10-07 21:59:31
0
pac 0404 :
uzuri wa Qur'an aijaacha kila kitu mashaallah
2026-10-07 20:58:54
0
Hamsa salum rashidi :
allahamdulillah nimepta kufaha kt
2026-10-07 10:19:38
0
To see more videos from user @fiisabiilillah, please go to the Tikwm
homepage.