@footy_hq04: #simbasc #simbafans #cafchampionsleague 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

FootyHQ
FootyHQ
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 08:56:46 GMT
148121
13230
279
144

Music

Download

Comments

hemedimjuju627
Hemedi Mjuju :
ivi uyu mtangazi jina lake nani
2026-10-08 13:36:04
75
0p.jr
Jr_kipaj :
ivi Balua yupo wapi siku iz
2026-10-16 10:05:03
40
sid0.mid0.jr
sid0 mid0 jr :
g0ri la tatu la ateba mpaka saiz sielewagi shida ilikuwa ni nn mpaka likafutwa🥺🥺
2026-10-08 09:02:32
41
user4854408780292_baraka
Drm master :
alaf Kuna ile game ya Simba Sc vs As vita Simba akishinda 2-1 jamaa alikiwasha sana Idd kidedea
2026-10-08 08:09:57
20
frankkiladyana
kiladyana@16 :
yani nikiiona hii match huwa nakumbuka kauli hii " mabululuuuuu Ooooooohhhhh fantastic pinpin camara" sijui tuliwakosea nn hawa viongozi wa simba ila Kiwango cha kasari bado anamengi ya kujifunza kwa mwamba kutoka guinea pipin kamara unabisha waulize al masly
2026-10-08 10:26:01
23
rashad.rashid91
Rashad :
mpaka leo sijaelewa kwanini goli la ateba lilikataliwa
2026-10-14 18:40:52
12
maige419
Maige :
mtaalamu Ulamaa Idd Kidedea huwa anakichapa mpaka kiarabu😁
2026-10-08 19:39:20
9
willy.tz.masanja
Willy tz Masanja :
kwa Tanzania 🇹🇿 hiii nayo ijua mtangazaji bora waga ni huyu hana mambo mengi namkbal sana
2026-10-08 05:14:21
8
mohamedi.matayo
Mohamedi Matayo :
ana itwa Ali salum kidedea
2026-10-08 09:57:45
2
ngoshaaa1
**£mmy :
Ahsanten kwa kuniliza kwa hisia juu ya hii game wallah jamaa alijua kunigeshaaa yaan hisia huwa juu kam nmetok kuuchem jana
2026-10-08 16:09:29
11
user57861707241886
Dr TLC4ever :
hyu jamaa aliyetangaza alikuwa fire Sana
2026-10-16 06:54:35
6
shibob049
shibob :
ayubu hinjo
2026-10-08 09:02:13
1
shabanmaftuh181
@Shabanmaftuh. :
idd salum kidedea
2026-10-09 13:29:47
2
mk.tz97
m.k TZ :
kuna maneno jamaa aliongeaa yasisimua sana KALIBU KATIKA TANULU LA MOTO CAMARA...ANAWAMBIA TUFANYE NINI WANNGU
2026-10-08 08:53:45
5
mcharojohnson126
mcharo johnson :
ateba mbida tutakukumbuka
2026-10-16 05:09:49
2
kelviniabduli8
kelvini abduli@ :
ana juwa sana kaka daaaaaa
2026-10-08 00:03:22
1
.jayk15
official jay :
what a intro🔥🔥🔥🔥
2026-10-08 21:01:41
1
aweeee_______________
Aweee_____________________🏃 :
IDD KIDEDEA
2026-10-17 08:08:18
1
young_dere25ww
Young dere🫵😋 :
KUNA ILE ALIPIGA OOOH MABULULU 🔥🔥
2026-10-08 13:54:13
0
kingdem0n3
👑KING DEM0N👑👑 :
mm nataman kexh atangaze dab ya kexh
2026-10-09 05:26:55
1
mhi776
Mtu wa maana!! :
huyu jamaa atangaze derby ya tar 10/10
2026-10-08 15:09:41
2
cheda116
Daddyo69🇿🇦 :
ile dhidi ya AS Vita Utasikia Haruna Chamaaaaaa
2026-10-08 11:54:15
2
dhulkiflimwinyiwiwa
dhul_mwinyiwiwa :
hapo kuna goal la edwin barua huajliweka
2026-10-15 11:22:23
2
mubah510
Mubah!🪁🎯 :
uyu Awe Anatangaza Game Zetu zote Zakimataifa [Heartwarming]
2026-10-09 03:59:34
2
la5ka5neti
lakaneti yohana💫💫💫🔥 :
huyuuu jaamaaa ni hatari san anaitwa idi salumu kidedea
2026-10-16 09:47:47
2
To see more videos from user @footy_hq04, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About