@rubeyatv: Jumuiya Day Masjid kisumu magomeni Mikumi Dsm 03/10/2026 Mwamba akivunja kabisa 🙌 Yassalaam 🔥❤️

Rubeya Tv
Rubeya Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 09:05:41 GMT
12289
944
19
38

Music

Download

Comments

ismailmaujudy483
Suma G😎☠️💯 :
🔥🔥bassss mzeee pepo anayoooo mashaallh
2026-10-07 12:14:17
3
samir.h.song
Samir H Song :
mashaallah daah natamn ningekua na chochot ningemnunulia huy mzee mkwaju na kumvalish akapendez maana amenigusa sana😭😭😭 ila Allah ajanijaalia ila ipo sku kacheza kwa hisia sana na akiwa anaashum ana mkwaju mkononi asee Allah amfanyie wepes 🤲
2026-10-07 11:17:12
4
mdaki_xi
mdaki_xi :
Naapa asije akatokea mtu kunishawishi niache dufu si kwa hz feelings
2026-10-07 14:22:45
1
shamira.abdallah8
Shamira Abdallah :
mashallah mashallah
2026-10-07 09:58:54
1
hajiamir1533
Haji Amir :
ipo yote
2026-10-07 10:23:49
1
mudeer_unique
✯MUDEER᭄UNIQUE✯ :
Aliniliza sana kijana wa mtume Allah amjaalie pepo ana mpenda sana mtume huwaga namuonaga kama baba yangu nikionana nae ame fanana sana na marehem babaangu🥺🥺
2026-10-07 22:37:53
0
hussein.lugoda
Hussein Lugoda :
yaa salaam nahwand 1 ya hisiya Kali sanaa 😢
2026-10-07 13:49:55
0
im.bob.is
im Bob Is.. :
mineso tuu😅
2026-10-07 15:09:47
0
said.myegela
MYEGELA :
dooh
2026-10-07 10:00:16
0
mulhaty080
Mulhaty💜 :
Yani Raha ya iyo kitu wee acha tyu inafikia mda mpka utaki iishe
2026-10-07 17:21:11
0
saidi.mrehe.salum
Saidi Mrehe Salum :
Jamaa anafanya mambo kwa utaalam wa hali ya juu kabisa,vijana inatakiwa kujifunza kucheza dufu kwa huyu mtu.
2026-10-07 14:55:21
0
khamisi.muba4
Khamisi Muba :
mashallah
2026-10-07 09:19:45
0
mr_london_rose
#..el Mahroush .. ☠️ :
Uyu jamaa kila shuuli inayohusu kumswalia mtume kwa eneo la magomeni lazim nimkute tena staili yake yakucheza ndio hii lazim awe na kikamba …….. Allah amlinde na amuhifadhi na ampe umri mrefu wenye manufaa
2026-10-07 11:49:04
7
last46born75
آخر مولود 😃 :
basi tena mzee makalani
2026-10-07 11:36:00
1
spearjr4
Cholo Stopper :
vittah
2026-10-07 09:52:28
0
raheemsultan98
@Raheem sultan x67 :
ilaa @Rubeya Tv daa😅
2026-10-07 09:50:18
1
ishaq0607
Is-haq :
🔥🔥🔥
2026-10-07 21:42:32
0
To see more videos from user @rubeyatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About