@tuzoonline: Ukisikiliza mdomo wa mashabiki wa Simba unaweza kuhisi tarehe kumi Yanga anapigwa nyingi😂😂 Hii mechi waacheni watambe kwamba wao wana Chama, Libasse wana Doumbia😂😂 Video Credit: @unspokenties_podcast on Selphix Media YouTube #wajombalife #wajombatothewolrd #tuzoonlinetunakupaunachostahili
ila simba wana spiriti yakujiamin kama wamechanganyikiwa🤣🤣🤣
2026-10-07 11:24:19
155
sophiajumamatias :
Dabi ya mwaka huu wanayanga tumeiweka tofauti sana💚💛💚💛💚💛💚[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-09 06:52:42
1
RIVINUS JR :
xaw kk wambie
2026-10-08 13:42:17
1
SAIYA@1454 :
simba tunajiamini mda wote bro
2026-10-07 10:38:43
64
Erick Gabriel 739 :
yanga bingwaaaaaaaa 🔥🔥🔥
2026-10-07 10:17:09
138
Mc Danny :
point my brother
2026-10-09 11:21:04
1
👑 THE CROWN PRINCE 👑 :
Usitaje Dumbia unavunja mbavu zangu
2026-10-07 12:10:50
43
Cute💋 :
Ali kamweeeee
2026-10-09 09:57:00
1
clever_19 :
sasa simba sc wasipoongea
leo wataongea lini
wakati kipigo kipo palepale😅😅😂😂
2026-10-07 12:26:26
51
Himid Bin Liwidu :
YANGA HANATIMU YA KUMFUNGA SIMBA SHIDA NI KUCHEZA NJE YA UWANJA
2026-10-08 03:30:46
30
Edward :
weeeeee
2026-10-09 04:00:27
1
last born💞 :
hapo kwenye doumbia
2026-10-07 11:02:27
29
Makwaya :
yanga awana team msimu huu
2026-10-07 19:29:51
6
john aloyce :
waache waongee tarabu si vitendo vyetu💪
2026-10-07 10:23:36
46
Jumoe💞💕🙊 :
YANGA BINGWA
2026-10-07 11:08:13
18
Mpogolo Tz :
Simba Ni Timu Nyingne Brother
2026-10-07 13:22:33
4
Asia Said :
mungu saidia yanga. 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-07 10:57:31
20
Rajjy Khani :
Allahu Akbar 🤲
2026-10-07 12:49:01
5
Dr. DK :
Yanga ni madaktari wakushona midomo
2026-10-07 11:44:55
14
🐰I’m diran 🎧 :
Wananchi tunaendelea tuliopishia
2026-10-07 16:09:48
7
United state of Andrew USA :
siku ya daby naomba el nino ikuje ichukue yanga ote amiina
2026-10-08 13:50:13
7
malechela :
unajua sana kaka mm ni mshabiki wa Simba ila huyu msemaji ndo mwenye akili
2026-10-08 05:04:45
6
rosesebastian315 :
Mungu Linda Timu Yetu ya YANGA ipate Alama Tatu Mech ya Tarehe 10/10/2026
2026-10-08 07:49:15
6
enetzchampion :
unajua kwnn yanga hii mechi wapo kimy nakupa sababu , kwanza simba ipo nyumbani kwhy yanga wanaona wakiongea na Ku promote mchezo simba watafaidika na hela za mashabiki na hiyo ni kawaida hata mechi ya yanga akiwa nyumbn simba huwa wapo kimy kama hamn mechi
2026-10-07 14:37:11
8
To see more videos from user @tuzoonline, please go to the Tikwm
homepage.