hii ngoma imenigikia mda ambao nisha mov on. 😅😅 naimba kwa raha wew na nimeikalili
2026-10-07 12:08:22
7
Fathan Kishky :
marioo mitano tena katatuweka bize haka kawimbo mwezi huuu an tutasahau kama ndo kumbukizi ya uchaguzi tuanze kuweka vyakula ndani kwa maaana mvua kubwa inakuja wakuu
2026-10-07 22:03:32
1
miss ♥️🇹🇿 :
🥰🥰🥰 nyimbo imekuja wakati SAHIHI 😂😂😂😂😂
2026-10-07 17:12:33
2
𝐏𝐚𝐩𝐚𝐚 :
𝐌𝐮𝐝𝐚 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐜𝐡𝐚𝐧𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐟𝐢𝐤𝐚 😂
2026-10-07 17:45:32
1
salim :
Mario kaanza kuimba tena narudi kua shabiki
2026-10-07 14:28:44
1
mami :
2026-10-07 13:00:51
1
Joely16 :
unaachia Lin hiyo Ngoma kak imenigusa San umepiga maish ya kweli wapambanaji tunaumia
2026-10-07 10:40:31
1
liger koster :
hii umeweza bro
2026-10-07 18:34:09
0
Nyasagirl :
umetisha kaka🥰
2026-10-07 17:05:12
0
Ariani173 :
kaka achia nyimbo tuongezee saut
2026-10-07 17:58:27
0
Samweli Sam :
kaka nataka uwepekeako tu Kwa iyo Ngoma kwan wataalibu wengine
2026-10-07 19:01:31
0
Sinachuki na mtu :
2026-10-07 15:44:49
0
Nocha Tz :
KAMA MIONDOKO YA KIKONGO VILE KWA MBALI
2026-10-07 17:39:24
0
🎤 heal :
Huyo ex hana lake mwaka huu
2026-10-07 21:34:31
0
only_one💐🌺🥳 :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-07 13:15:30
1
MABAWATZ :
🥰🥰🥰
2026-10-07 16:49:49
0
123456789012345678901234567890 :
👍👍🥰🥰🥰🥰
2026-10-07 16:50:03
0
abdizo557 :
🥰🥰🥰
2026-10-07 17:07:26
0
bifeza :
🥰🥰🥰
2026-10-07 10:32:09
0
To see more videos from user @icon_lyrics01, please go to the Tikwm
homepage.