@mercywanyonyi8: Pastor, and camera man in the church 💯 plus waumini 💯

Mercy  wanyonyi
Mercy wanyonyi
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 07 October 2026 09:57:59 GMT
98769
5038
180
373

Music

Download

Comments

jayisospeedjayiso
Jay ISO speed Jay ISO speed :
nambe niukweli[Red heart][Laughing][Laughing][Heartwarming][Heartwarming][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-08 15:35:11
0
penziedgbhny
penziedgbhny :
umesahau praise team 😳😳😳
2026-10-08 12:21:54
0
clarelukhalo
Clare Lukhalo :
wat s t really
2026-10-08 12:13:47
0
user5776911790675
user5776911790675 :
Because he is behind the camera
2026-10-08 03:24:06
2
rapperbodycracker
Wa luhayo :
But why
2026-10-07 16:27:04
0
mum.ariella80
Mum Ariella ❤❤👌👌👌 :
na ni kweli cjawai ona camera man na keyboardist wakianguka ama hao ndo hubeba power 😂😂😂😂
2026-10-07 12:37:04
7
user1588223221521
Mcoast Patrick :
Huwa Wana services zao special,wanakuanga na connection flan in spiritual juu hao pia ni watumishi 🙏 acheni kujifanya mnajua sana Kila ktu The wise person ni yule anauliza apate kujua kuliko kutojua na huulizi utabaki ivo bila kujua
2026-10-07 15:54:15
4
gracewanja275
Mercy Grace :
hua stage managed
2026-10-08 08:00:04
1
mercywanyonyi8
Mercy wanyonyi :
Haya ni maajabu 😂😂😂😂
2026-10-07 09:58:12
3
zakari_zakk
Zakari zakk :
plus the keyboardist
2026-10-07 11:02:48
1
wilfrednyamwaka
fredz nym :
karibu Kenya mahali pastor akitaka gari anachangiwa pesa akanunue na mumini akitaka gari anaombewa maombi ikafanye Kazi🤪🙆🙆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤔
2026-10-07 10:18:26
4
kyogskoech1
kipkelesindet koech :
si camera iko na stand
2026-10-08 09:36:23
1
danielshikuku37
Daniel Shikuku :
cameraman ako Kwa Kazi yake😅😅
2026-10-08 05:34:54
1
helloits.me78
hello,its me! :
hii naye ni uzoro ya hali ya juu weeee😂😂😂😂😂😂anika pastors kabisa,wacha tuweke cctv sasa
2026-10-07 15:10:59
2
sam.kitosh
TOSH......💯 :
nikuhiza washirika wanalipwa😂😂😂😂😂ni mbaya
2026-10-08 18:01:24
0
bevafify
bevafify🥰 :
karibu kenya penye keyboardist hawatoi sadaka
2026-10-07 18:23:39
1
annastacia244
annastacia244 :
kenya mulisema.binguni atuendi
2026-10-07 15:10:11
1
violet.makokha
team works 💪 :
nikama umeona pastor wa kanisa letu mbona useme ukweli 😂😂😂😂😂
2026-10-08 16:45:24
0
user9499380594107
Aggy :
😀😀na pastor mwenyewe haanguki
2026-10-07 19:07:54
0
user936069096
Caroline :
2026-10-08 14:05:49
0
marcyachieng635
Marcy Achieng :
lkni hzi vitu
2026-10-08 18:32:19
1
linetosongogmail.c
Lyn kem :
tangu niende kanisa kama hiyo wakaombewa mimi ndio sikuanguka niliona siku mrefu hapo ndani
2026-10-08 14:56:02
2
marialydia62
slow but sure :
ulisema sitakaa na amani Habibi 🥰🤣🤣🤣
2026-10-07 16:22:44
1
mercymercy7633mj505513
@mj505513 🇰🇪 :
ndo apo sasa
2026-10-08 14:26:53
0
michaelchristoph851
Jewish Tz🇹🇿🇮🇱 :
ila nyie mnwaza mbali mbona cc tumelala ivo
2026-10-08 16:44:37
0
To see more videos from user @mercywanyonyi8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About