a confused molecule 💔💔 I told you earlier if you are after those theological bluffed knowledge you are not a Christian but only a Fool ,,,
2026-10-07 16:08:52
0
mavuno :
kaka mlundie mungu tena tubu
2026-10-07 18:25:17
1
evangelist phoustine khaindi :
amen
2026-10-07 19:06:03
0
Ben Carson :
nilianza kukusikiliza Kwa umakini lakini naona unapoteza mwelekeo mtumishi[Pray][Pray]
2026-10-08 06:38:02
1
#prophet_Singer :
the man with his wisdom
2026-10-07 11:53:46
0
Merina Joseph :
wangapi wameona huyu kaka ni mpinga kristo
2026-10-08 13:26:36
0
Laude :
soma sana biblia
2026-10-07 15:27:16
0
Okunda :
hapo kwa mavazi sitakubaliana nawe.
2026-10-07 11:58:59
1
Givence Matoke :
kaka sio kila uelewavyo biblia ni vy3ma kuna mda usitegemee 2 u3lewa wako neno la mungu liko wazi kama watu tunakanusha kilicho andikwa ni kipi tunataka
2026-10-08 06:44:28
0
Tall Chocolate :
Una uhakika gan na hayo usemayo ???
2026-10-07 15:05:36
0
yaspi keijage :
kwaiyo kusuka nywele au kubadili ngozi au mekapu au kubandika kucha au kuua nywele yani kutia dawa nauwo ni udhaifu??? uwo ni uamuzi wa mwanadamu au kwenda crub au kuzini kabla ya ndoa uwo ni uamuzi wa mwanadamu watumishi wa Mungu wamehubili kila mahali hasije akatokea mtu akasema hakusikia.
2026-10-07 13:16:11
0
SJ MODERN HOMES :
Fungu la kumi unatoa au hautoi????
unajua chimbuko lake kuwa ni agano la Ibrahim na MUNGU ???
Uache bas kutoa fungu la 10 kwa sababu Paulo hakuna sehemu amesema utoe fungu la kumi ...
acha kuharibia watu mwendo wa kuuelekea uzima wa milele
2026-10-07 17:50:36
0
Silvia Ndungu :
Amen Amen 🙏
2026-10-08 05:31:39
0
martheilungandaya :
🙏🙏🙏🙏
2026-10-07 14:30:09
0
Ben Carson :
usipowasikiliza Hawa watumishi na kuwaelewa na kutumia maneno ya biblia vizuri hata Yesu akishuka Leo akakataza watu wasivae mavazi yasiyo na staha hutaamini
2026-10-08 06:40:49
1
Ibrahim :
mtu akidhani anajua neno ajui neno lolote kama impasavyo kujua
Acha potosha watu Acha ongeza nakupunguza nenolamungu usipate mapigo
2026-10-07 12:59:09
0
Shedrack Kabind JR :
mbn nilikua nakukubali vp leo mbn wakoroga
2026-10-07 12:33:26
0
ELLY HIDDEN TREASURE :
NILIJUWA KUWA MPINGA KRISTO ATAJITAMBULISHA NILIANZA KUKUFATILIA NIKIJUA UTANIFUNDISHA KITU KUMBE HUJUI KITU KWA HIYO WAJE HATA UCHI KWASABABU MUNGU HAANGALII MATENDO YA MWILI
2026-10-09 05:18:02
0
To see more videos from user @rev.adonijah1, please go to the Tikwm
homepage.