me mind yangu ufikiria business , ukikuja na love jua TU mm ni pes nafikirianga na akuna kitu utafanya nichange
2026-10-08 08:59:50
4
Virginia❤️❤️❤️ :
inanivunjabavu😂😂😂
2026-10-07 14:33:41
10
Idd^y 🌸💕 :
penda tu mwenye roho yako imependa😁😅
2026-10-07 11:25:12
18
Trizer💍☁️🤍 :
2 marriages ,3 relationship zote ziko serious na mimi ndo main kwa hizo 3 juu ,one of them proposed last Friday,,mmoja naenda kwao on 9th for introduction, then watu wa kwao wakuje kwetu,,mkae chini mwone kwenye ntatoa wazazi 😉😉😉😉msinijudge ,,just clap for me until its your turn