Mashallah Tabarakalah this dua works instantly inajibu Wallahi bilahi Tallahi 💯
2026-10-07 12:28:00
14
ulamaaJr :
Ameeen thumma Ameen
2026-10-07 15:27:57
0
mama farheen :
hii Nina ushuhuda jamani niliandikiwa upasuaji nikapata khofu nikaamka usiku nikaswali nikaisoma hiyo mara nyingi sana siku ya pili nikenda spitali wakafanya maandalizi nikiwa Sina uchungu kabisa huku naendelea kusoma hiyo jamani niliumwa nadhani ni dakika kidogo nikajifungua kawaida allahu Akbar
2026-10-07 14:27:58
16
user5263911989615 :
Screenshoot
2026-10-07 18:59:28
0
Rukshana :
ukifanya na vidole inapendeza zaidi
2026-10-07 14:20:55
3
Lady Jay❤️ :
jmn uctufungie video twahitaji kujifnz
2026-10-07 10:33:46
4
Rihlat Alquloob :
Surat Al-Ghaafir (40:44)
Kiarabu:
فَسَتَذْكُرُونَمَا أَقُولُلَكُمْۚ وَأُفَوِّضُأَمْرِي إِلَى اللَهِ ۚ إِنَاللَهَبَصِيرٌ بِالْعِبَادِ
Matamshi:
Fa-satadhkurūna mā aqūlu lakum, wa-ufawwiḍu amrī ilā-llāh, inna-llāha baṣīrun bil-ʿibād.
Tafsiri:
"Basi mtafanya kumbukumbu ya haya ninayowaambia. Nami namwachia Mwenyezi Mungu mambo yangu; hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake.
Tufungulie video dadangu kipenzi tupate kuichukua nasisi vichwa vyetu ni vigumu kushika mpaka Kila siku tujikumbushe
2026-10-07 12:47:10
8
Annu blast :
Allah amlipe sana Yule mama alikua ananiruhusu kuswali ndani kwake ramadhani naletewa futari akiwa na kakitu ananipa wallah 😭😭Allah amlipe kwa wema wote alonitendea mimi Kama binti yake[Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-07 14:19:45
5
minamoha53 :
inasomwa mara ngapi na saa ngapi
2026-10-07 18:06:07
0
saadiyaomar :
Tuache tusave na sisi
2026-10-07 14:57:58
1
Zainah :
tunasoma mara ngapi
2026-10-07 14:34:00
1
Elham Hafsah :
Kwa wenye wanaugumu kuhifadhi hadi wa save video natumahi muna Qur'an takatifu huu uradi ni Surah Ghafir 40:44 someni Mola awafanyie wepesi wakuhifadhi Aamin thuuma Aamin 🤲🏽
2026-10-07 16:11:33
15
Annu blast :
Huu uradi nilijifunza 2023 namshukuru Allah kwa kila kitu na ninamuomba kwa dhati ya moyo wangu amlipe kheri nyingi mama Rafia alikua mwenye nyumba wangu fremu [Heartwarming]nakumbuka ilikua ijumaa jioni anaenda darsa na mimi siku alinichukua ndio nikajifunza huu uradi
2026-10-07 14:17:57
3
Official Step Aura Ke :
hii ayah kiboko majibu papo hapo
bas soma tu kwa yaqini
2026-10-07 18:21:22
0
zeddy :
Amiin
2026-10-07 17:07:29
0
Rahma Yassin :
Ameen yarabil alamiin
2026-10-07 17:47:42
0
mejusuh :
Amin
2026-10-07 17:37:11
0
sumeiyaamin :
Hii ni kiboko inafanya wallahy🥰
2026-10-07 18:00:43
0
Yeyu :
mashaa ALLAH shukran ALLAHUBARIK Inshaa ALLAH
2026-10-07 18:29:12
0
suhbharry :
kweli
2026-10-07 18:25:04
0
To see more videos from user @najlafuadahmed, please go to the Tikwm
homepage.