@mkakamweus2: Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anadaiwa kuandaliwa kuzikwa kwenye jeneza la kifahari linaloripotiwa kuwa na thamani ya dola za Marekani 217,000, sawa na takribani shilingi milioni 560 za Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa zinazozunguka kwenye vyombo vya habari vya kikanda, jeneza hilo limetengenezwa nchini Malaysia kwa dhahabu ya karati 14, huku baadhi ya taarifa zikidai lina mifumo ya kisasa ikiwemo kiyoyozi na kamera za CCTV. Chivayo na mkewe, Lucy “Lulu” Muteke, wanatarajiwa kuzikwa kesho, Oktoba 8, katika Glen Forest Cemetery, Harare, baada ya kufariki katika ajali ya helikopta Septemba 30. Familia imesema hakutakuwa na zoezi la kuaga miili kwa kuiona kutokana na hali ya mabaki baada ya ajali. #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights
mkakamweusi2
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 10:36:45 GMT
Music
Download
Comments
Virginia njoroge :
whether expensive coffin or sack of sugar the fact is maiti ni maiti tuu
2026-10-07 18:50:47
1
margaretjohn965 :
All is vanity.Enjoy your life when you can still breath.
2026-10-07 17:22:47
1
Elizabeth :
lakini kifo si kile kile tu wapendwa
2026-10-07 14:35:29
13
Hidden Treasure :
nimejifunza Nothing is Permanent.🙏🙏
2026-10-07 15:07:02
3
ℭ𝔲𝔱𝔢𝔤𝔦𝔯𝔩 :
Hizo hela tungepewa tupunguze deni la taifa jaman
2026-10-07 14:36:53
16
Rosewahu3 :
utajiri sio likila kitu tutajirike ufalme wa mbinguni kwanza
2026-10-07 14:35:33
6
cece style🥰🤩 :
hata kama ni jeneza la bei ghali inabaki linaitwa jeneza!!Mungu nipe mwisho mwema
2026-10-07 19:55:07
1
First born123 :
Waisilam wenzang Tumswalie Mtume Muhammad.s.w.w
2026-10-07 16:55:23
12
mr& mrs A :
𝗺𝗺𝗺𝗵 𝗵𝗮𝗽𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗖𝗖𝗧𝗩 𝗷𝗺𝗻 𝘄𝗮𝗻𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗸𝘂𝗼𝗻𝗮 𝗻𝗻 𝗮𝘂 𝗶𝘆𝗼 𝗹𝗰𝗲 𝗷𝗺𝗻
2026-10-07 15:35:58
4
mdalingwa betty :
cctv ya nn tena
2026-10-07 12:48:48
1
user1935984547654 :
utafuteni ufalme wa mbinguni maana mambo ya dunia tutayaacha lkn mbingu ni ya kudumu Ee mungu tusaidie kuepukana na tamaa za dunia hii🙏
2026-10-07 16:13:04
1
MUHAYA MWITA WARYOBA :
ugumu wa dunia utapita mali ya dunia zitapita na utajir wote utapita lakini neno lake litasimama[Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-10-07 15:24:58
6
Esther Joseph :
wamesaau wifi jaman
2026-10-07 17:12:48
1
Omomura omoremu :
lakini mtu alikufa amekufa hawezi amka what for pesa hiyo saidia maskini
2026-10-07 16:27:31
1
G master🩶💫 :
apa inanibid niwe mchawi nikaibe jeneza nikawe bilionea [Tears of joy]
2026-10-07 13:39:27
2
Sarah Tety :
Mmmmh!??
2026-10-07 11:14:13
0
Groly Stephano :
sawa ila udongo ni muhimu sana lakini je ?wamekifa wanaenda wapi?
2026-10-07 13:34:30
1
Iposiku2 :
🙏🙏🙏
2026-10-07 12:39:23
0
Bwalya :
hakuna alicho beba. mungu mwacheni aitwe mungu
2026-10-07 18:27:19
1
Muller :
Aisaidi kitu atakama utazikwa na utajili wako wote. ALLAH atupe mwisho mwema TU
2026-10-07 16:01:33
0
lenny Doll❤️🔥🫦 :
na bd sote tutaoza na kuwa mchanga🥹🥹🥹
2026-10-07 19:35:21
1
Raymond Kabaka :
Duuu duniani bhn ata uwe maskini vip ata uwe na pesa vip kifo kipo pale pale tena wanazikwa bila kichwa🥺🥺🥺🥺
2026-10-07 19:34:25
1
Mariamu samwel :
Tusipende hela za utajil tutafute za halali
2026-10-07 18:07:41
1
user623754253084 :
200000000000000000
2026-10-07 16:44:45
0
Gress Mwapinga :
Kwa kweli
2026-10-07 14:51:05
0
To see more videos from user @mkakamweus2, please go to the Tikwm
homepage.