marioo asant kwa hii nyimbo nimetoka kuachwa juzi tu chakushangaza uyu kaka kaona nipo kimy sijamtafuta kaaza kujileta ten hom nayeye ndoalisema tuachane yani naifanyia mazoey hii nyimbo yani akifika tu nafunguwa redio naweka kabisa lipit 😏 mpka anyanyuke mwenyewe nimechoka mimi 🥲🥲 kila siku linanitishiy kuniacha alafu lina rudi ten nimechoka kweli😪😪😪
2026-10-08 19:25:16
18
Danuis Guillin :
safi sana grand ina dondoka lini grand🥰🥰🥰
2026-10-08 11:52:48
5
Baby Prisca :
jina la wimbo jaman kun lijitu linanisumbua kumbe kuna wimbo wangu ulikua unakuja 🥰🥰🤣🤣
2026-10-08 18:36:27
5
Mrs❤️💯 :
jomn huu wimbo unatoa machozi navopendwa mpk so poa
2026-10-07 18:24:52
5
therealvee21🌸✝️✨ :
Bkkkk wimbo wangu umeshatoka
2026-10-08 04:24:42
4
jordan :
the good song in 2026
2026-10-30 16:28:33
1
johari brayan :
😅😅😅ila marioo asante
2026-10-21 16:01:31
2
Mwele Jnr. :
tiktok.com/@officialstephvohmsafii
2026-10-09 20:12:34
1
☠️ vdj Baboz💯💥 :
marioo achia hii ngoma bas
2026-10-09 07:12:54
2
sammy cute :
😂😂ila marioo 😂🙌Asante bwana ❤️
2026-10-12 18:38:59
2
Bitesigilwe :
kaka unajua san
2026-10-09 15:17:55
2
salimmbita :
mariooo uko vizur sanaaa
2026-10-22 06:36:53
1
Mbalah Sports Wear :
Asante marioo
2026-10-08 19:08:16
1
KP 1 :
dah nyimbo kariiiii sana
2026-10-09 07:14:48
1
Tonyman006 :
moja safii sana bro big up
2026-10-21 18:30:32
1
Rosrmary Simon :
the good song in 2026
2026-10-31 05:15:39
1
Hindu Hassan :
bro umetishaaa sanaàaaaa
2026-11-04 09:41:22
1
MUCHUNGUZI GASPARY :
daaah mbona hii ngoma inanisema mimi lakin sema nini tisha sana mwanetu IKO WAZI