i appreciatee your content bro b'coz made me to still in my way
2026-10-07 19:28:27
0
fed 4C :
we broh unaongeaga point full
2026-10-08 07:11:31
0
Catepillar :
mada nzuri ila sound nyingine noma
2026-10-08 08:38:44
1
Eng Badi :
fact bro fogo📌👏👏
2026-10-08 03:23:18
0
Three :
kaka huo muziki hauna maana yeyote usingeweka ni kelele tu
2026-10-07 17:57:34
2
AmosEdward :
bonge 1 LA elimu, asante sana, lkn kwenye kipengele Cha ng'ombe wa maziwa kutoa jumla ya Lita 30 per day ni extra ordinary,, maximum average hua ni 12-20 Lita daily
2026-10-07 14:43:48
1
Mchunguzi :
Kuna jamaa hapa mtaani anasimamia tu hostel ya mtu, but kila baada ya miez mitatu anauza kuku 40 kwa 25 jamani hadi amemaliza bonge la nyumba kwa kuku tu aisee sisi tunaishia kushangaa tu.
2026-10-07 13:40:15
3
dodoma kennel :
nakukubali sana fogo
2026-10-08 08:27:29
0
Mussa Ali :
samaki vip mzee Fogo???
2026-10-08 06:09:31
0
Athumani Labani :
mbuzi Mimi nawataka sana acha nipate 2.5 M tu inatosha
2026-10-08 07:00:55
0
Baba G 3D :
Fogo Namba moja weka samaki hapo kuna utajiri kulioko maelezo sema tu watu hawana taarifa za kutosha kuhusu ufugaji samaki hasa KAMBALE ni nomaaaa
2026-10-08 06:58:25
0
Miagie Langoi :
mm kwenye mbuzi nina imani maana hapa nilipo nafuga kibiashara inalipa kweli kweli
2026-10-07 15:59:58
1
Victor Victor :
nisahihi fogo
2026-10-07 21:07:37
0
lifemaisha :
mziki sauti lakini kidogo nimekupat
2026-10-07 11:37:32
1
marthayusuph77 :
samaki vp
2026-10-07 21:52:02
0
Jaktirianus :
nakubali sana 4go
2026-10-07 19:27:41
0
user244861503321 :
somo la nguvuwe bdo mpk miez Tisa niweze kuuz ankula kias gn mpk nione faida yke
2026-10-07 20:29:02
0
Musa Malangalila-Tanzania :
Ukweli mtu Fogo. Elewa neno fuga kibiashara,tena hata hiyo miezi 9 mingi mno,ni saba tu
2026-10-07 12:15:18
0
maxfero :
nimeku follow Leo kaka
2026-10-07 14:28:02
0
timothdenis5 :
fogo mzee wa Chaka tu chaka💪
2026-10-07 19:07:27
0
Wilbert lyimo :
mwamba makini sana
2026-10-07 17:36:58
0
fine life :
elimu nzuri naelewa hasa ulipo zungumzia mahindi
2026-10-07 14:35:21
0
Sarah fresh fish :
hauwez kuongea vitu vya msingi nikunyime like🔥🔥🔥🙌🙌🙌
2026-10-08 09:05:47
0
JOSEPH katama :
nakuelewa sana mzee wangu!
2026-10-07 19:24:24
0
One health media :
Mkuuu nakuelewaaaga sanaaa , huo ndo uhamadishaji sio ushabiki tu
2026-10-07 13:26:05
0
To see more videos from user @emmanuelmbegalo, please go to the Tikwm
homepage.