@gods.servant1878: Waebrania 13:17 Watiini wenye kuwaongoza, na kuwanyenyekea; maana wao wanakesha kwa ajili ya roho zenu, kama watu watakaotoa hesabu, ili kwamba wafanye hivyo kwa furaha wala si kwa kuugua; maana isingewafaa ninyi.

God's Servant
God's Servant
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 11:03:45 GMT
1716
94
6
4

Music

Download

Comments

simon.daniel339
Simon Daniel :
Tuambie Yesu alikuwa na masters kutoka wapi? Twambie Vyuo vya mtiume wa Yesu na masters zao. Uzee ni hazina lakini siyo uzee wa vyuo.
2026-10-07 13:37:32
1
leonfineboy
Leon Fine boy :
Mzee wangu mbona Kama unatufokea
2026-10-07 11:43:18
1
To see more videos from user @gods.servant1878, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About