@bakarially30: Cbs@Cbb@Fox News @Fox News @bbs#congolaise🇨🇩 #tanzaniantiktok🇹🇿 #burunditiktok🇧🇮 #kenyantiktok🇰🇪

Bakarially30
Bakarially30
Open In TikTok:
Region: DE
Wednesday 07 October 2026 11:28:37 GMT
83348
2956
74
124

Music

Download

Comments

mohamedhuphrey
Mohammed mohanda :
let me see
2026-10-07 22:07:48
0
asadabdul39
asadabdul39 :
team Iran munaproperganda
2026-10-07 13:27:37
4
thuweinriyamy
thuweinriyamy :
In Shaa Allah Amerika itaanguka
2026-10-07 14:19:04
4
uncle.kp4
UNCLE KP :
mmh! ila wabongo vita ya marekan wanaichambua vzr ila kuwazungumzia watanzania anhaaaaaa!!!!
2026-10-07 14:41:19
8
samwel.joramu0
Samwel Joramu :
kaka unauchambuzi wa kina sana
2026-10-07 12:53:00
6
eliudy.mevoroo3
Eliudy Mevoroo :
This time umekosea sana Uchambuzi wako 🤔
2026-10-07 14:17:30
4
isakamwaipaja
@Shazaki :
ukiwa unatoa information basi zingatia unachokieleza kipo sahihi kama vyanzo vinavyo SEMA! Trump alisema kua ikitokea wakachukua Los Angeles na mjin mwingine hakuna na maana kuwapa kama yawe makazi Yao Ali maanisha kushambuliwa na akasema ni kama collateral damage katika wao kushinda vita nikama gharama ndogo katika wao kushinda vita hapo Ina maana anawez tumia nuclear
2026-10-07 17:03:57
1
engenear37
Engenear :
Kwani Dumbia anasemaje
2026-10-07 19:15:46
1
jimmyramadhankalu
BAD'OR 26 :
oae bro tirampu hawezi shindwa vita ata sikumoja apo anawazuga tu bro
2026-10-07 13:27:55
4
user3376261192844
dogodjandja :
poa
2026-10-07 21:50:56
0
willinatus
Musso :
Me Nipo buse nacheki move ya spartacus
2026-10-07 18:57:04
0
ye57340
ye :
2026-10-07 21:26:19
0
omarchanzeocs4
omarchanzeocs4 :
Los Angeles n San Diego ni maeneo ya blue Huwa hawamuungi mkono trump. Uchaguzi wa kati ya muhula ni Novemba
2026-10-07 17:15:49
1
hamadhamadi25
jombaz :
hiyo ni kitu haiwezekani
2026-10-07 20:36:30
0
ally_hamumy
Ally_Hamumy :
Hilo ni fumbo na mwenye hekima na busara pekee ndie atakaye juwa nakulifumbua👍
2026-10-07 20:50:26
0
joeb223670_fl
JOSH :
JARIBUNI KUFAFANUA KWA KUZINGATIA TAFSIRI FASWAH YA LUGHA ZA WATU. Hajasema atampa IRAN, amegusia kuwa *Hata ikitokea kwa mfano, IRAN ichukuwe.....Hiyo ni kitu kidogo ......*
2026-10-07 20:43:16
0
theodorykomba549
Theodory Komba :
kwan iran vita kashinda kivipi syria ilichukuwa miaka 13 kwa hiyo hata iran asipotumia akili kitampata cha syria
2026-10-07 21:00:20
0
faustinejbugalama
faustine :
ulikuwepo
2026-10-07 19:46:23
0
asadabdul39
asadabdul39 :
Ikulu ya White House imefafanua kwamba Trump hakumaanisha anataka Iran ishambulie miji hiyo; ilisema alikuwa akieleza hatari ambayo Iran ingekuwa nayo ikiwa ingepata uwezo wa nyuklia, na kwamba Marekani inapigana kuzuia hilo.
2026-10-07 13:26:53
3
fezamukumbilwa200
. :
Mungu barikiya Iran
2026-10-07 15:52:01
0
anwaryy6
Anwaryy :
marekani kashatubu majeshi wamarekabi yameondoka iraq 🇮🇶 kwaushuda mm nilikuwa Baghdad
2026-10-07 19:15:17
0
mtugaimara
Mtuga :
hcho kitu hakiwezi tokea bro
2026-10-07 19:42:27
0
simbakitara4
simbakitara :
naftai sana
2026-10-07 16:47:23
0
bilal.abdul.mwand
Bilal Abdul mwandu :
ongea shehe
2026-10-07 18:26:45
0
user2810792377627
mohamed :
vita iyi itakwisha kama marekani siyo superpower tena
2026-10-07 19:46:11
0
To see more videos from user @bakarially30, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About