@eddienyota: #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #edsonnyota #viral

Eddienyota5
Eddienyota5
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 11:31:57 GMT
49523
2723
118
475

Music

Download

Comments

ciarangarakuna1
ciarangarakuna1 Platonov :
True, I learned in hard way 🤦‍♀️
2026-10-07 15:31:51
0
lizzycausion
lizzy causion :
Nipeni kiti kwanza nikae ndo nihadithie 🥹🥹😭😭 🙌🙌
2026-10-07 17:03:04
12
floraurio5
Malkia fii ⭐ :
natamani kuweka status hii [Pray]
2026-10-07 16:24:13
9
mandeje
Mazengo⭐handmade craft-tz :
Naogopa kwenda kazini kuliko kupanda bodaboda😥
2026-10-07 17:21:01
3
user7366169461310sarah
creopatra🥰🥰 :
mwanzo nlikua sikuelewi ila kwenye hii imenitokea mwenyewe😔
2026-10-07 12:29:59
22
user4858117106562
Maysara25 :
mimi patner wangu alijitia kunijarbu 😂😂😂nilimionyesha umafia atasimulia wajukuu
2026-10-07 13:56:32
11
sam71581
sam :
Very true.
2026-10-07 14:53:14
0
husnayaan0
@Husnayaan :
Kazini kuliwa na fitina ni mwezi watatu nimepumzika nyumbani bila kazi 😌😁
2026-10-07 16:59:31
3
phas158
phales chisele :
I accept broo[Tears of joy]
2026-10-07 16:28:00
0
yakiswahili
Genius no. 7 :
Nilijuaga nikiwa mkubwa nikianza kazi, watu wote watakua na akili za utuuzima, kumbe makazini kuna wivu, uchawi, nongwa, uchonganishi, unafki dah nilijua watu wazima hawana hizo
2026-10-07 13:01:25
11
elinakamwela5
henche de boss :
😂😂😂😂😂 ngoja nichekeeeeee
2026-10-07 14:32:25
0
shaah892
Shariah :
Nashukr m/mungu nilipewa shule ya kazin be4 sijaingia kazin saiv naienjoy tu
2026-10-07 13:19:16
5
sheila_kidala
Sheila :
em nisiseme mimi😭
2026-10-07 16:13:56
0
user7612246563755oneday
mysala💕🔐🩷 :
nashukur mungu nafanya kaz na wanaumé tu alf tupo watatu tu wakiumee wawilii na wakike mmja na humo kwenye watatu Kuna boss allhamudúl tunasapotiana na kuish kama ndug [Pray]
2026-10-07 16:21:11
3
smmarmy.collectio
SMMARMY COLLECTION :
na wakikushindwa wanakununia bila sababu ...[Laugh approved]
2026-10-07 12:55:04
2
itsmolly10
Nurse Adeline 🩺💉🥰 :
True
2026-10-07 13:31:25
3
mariam39782
mariam :
we kakangu,nakuita mara 3,nitafute nikupe story,utanihurumia!!
2026-10-07 17:27:49
1
hawaathuman22
Natasha's :
100% sure
2026-10-07 12:03:12
0
__niffer.__
حنيفة 🍂 :
Mm lilipark gar ata sio langu 😂😂bc walimu wenzang likawa gumzo kakaa na gar mda mrefu md wa kazi😂😂while mm skufik kzn mda uo…na nlipofik wanachek na mm km sio wao walionisem …nyie kazni sio kwema
2026-10-07 13:50:02
2
tilda_215
Tilda_ :
nimetoka kwenye maombi kaka Sasa HV kimuomba Mungu rehema ,,, mtu awez kuelewaa hii kitu ila kazini ni hatari sana tusali sana
2026-10-07 16:28:28
2
magemakallah
Mage❤️ :
Hii sauti
2026-10-07 11:45:24
0
kupponasri
nasrikuppo :
Hii Kweli kabisa
2026-10-07 14:20:52
1
babaakram__
Baba Akram 🇹🇿 :
Sahihi kabisa, watu ni wanafiki sana...
2026-10-07 13:56:45
1
rossieedmund
Rossie🌹🌺🦋.. :
ameongea ukweli mtupu
2026-10-07 15:05:45
1
lynecakesarusha
Lyne cakes Arusha :
Daaaaaaah
2026-10-07 17:53:37
0
To see more videos from user @eddienyota, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About