@simukitaa: When you work 98hrs a week😂😂😂 Who can relate? Ukiniona mimi umeiyona simukitaaa😂😂 Nawakumbusha tu pia kwamba hapa ndo mahali pekee ambapo utajipatia simu original kabisa tena kwa bei nafuu.. usisahau kutufollow na kuturn on post notifications ili uwe wa kwanza kuona Post Zetu.. Call/Whatsapp 0712 858 344 Tunapatikana Sinza Mori #hamjaonakitubado? #Simkitaa #Sanukakitaani #iPhone18
Ni kama mimi navyoenda kwenye maduka ya watu alafu nawaambia karibu wakati mimi ndio mteja💔😂😂
2026-10-07 14:33:00
606
Charity Swai :
nilienda kwa doctar nikiwa naumwa akaniambia habari dada nikajibu salama boss karibu nikuhudumie😅😅 akaniambia nimesha jua unacho umwa ni uchovu tafuta muda wa kupumzika
2026-10-07 17:35:58
251
Ms Appiee🤍 :
Borea wew umeitikia salamu mimi naanza na karibu😅😅🤌
2026-10-07 15:24:50
155
gideyuya :
hivi Samsung s22 ultra bei gan broo
2026-10-07 11:46:44
45
Bongo Mitupio :
Kuna siku mama alitumia number nyingine nilivyo mkaribisha mwenyewe hakuamini, alimani kuagiza Mom Jeans.
2026-10-07 13:42:02
58
Karen Jeremiah :
I was once told bolt driver karibu tena alivyonishusha😂😂😂
2026-10-07 17:42:57
10
lastborn🫠 of God🙏🏿😍 :
nilipokeaga cm ya babah angu nikamwamby "karbu tunasuka mitindo yote mlete mwanao leo hatuna order nyingi"🤦♀️🤦♀️🤣🤣
2026-10-07 13:56:25
79
Meggy-accessories :
Kuna mim kila nikipokea simu nasema karibu🤣🙌
2026-10-07 22:36:31
40
Femicrave :
wow my lovely Witney Willy miss you
2026-10-08 16:20:54
0
Juddy Relax Furniture :
boraa wewe nilienda hospital na mgonjwaa nikawaa namwambia doctor kuna mteja wangu hapa .....sema nikashtuka mapemaa aisee walinichekaa😂😂😂😂😂
2026-10-07 15:32:06
43
Irene Herman :
kuna mm nilipokea cm ile naambiwa mambo nikamjibu karibu🤣🤣🤣🤣🤣 aibu niliona mm🤣
2026-10-08 08:14:51
10
junegyal :
😅😅haha sure
2026-10-08 12:57:22
0
j.h.d🇹🇿 :
😂 ila witty...
2026-10-08 08:38:36
0
Halima Sweid :
kna siku nlimpokelea boss wangu simu nkamjb shikamoo karibu dukani kwetu 🤣yaan ikabdi aniambie kesho nisije kazn nipumzike maan sio kwa huduma hyo🤣🤣
2026-10-08 06:36:21
16
Whitines :
wity my namee
2026-10-08 09:15:39
0
Amisa Mdulu :
hii ishawahi nitokea njiani nikasalimiwa nikamwambia poa karibu😂😂
2026-10-08 06:57:03
6
Transporter :
nimecheka jaman 😂😂😂
mambo mengi watu wanawaza kaz tu
2026-10-07 14:12:15
22
sureboy :
Hyo sjui nayo n addiction
2026-10-07 12:22:38
11
Aryana perfumes ✨ :
Yaaan huyu ni me kabisa mtu akinambia mambo Naendelea na karbu
2026-10-07 13:15:49
8
Recho Machala :
nishawahi kusalimiwa nikiwa naenda sokoni badala ya kusema salama nikamwambia karibu 😂😂 sikuamini 😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-07 15:48:55
5
Ineza :
Afu kuna sisi tukipigiwa simu tunaanza na Habari unaongea na 🤦🏼♀️😅😂adi watu wameshazoea wakinipigia wananianza wao Habari naitwa flani kutoka 😂😂😂
2026-10-08 15:57:41
2
WiLeH🚀🥂 :
mm hadi Mzee nikimpokelea namwambia karibu😅
2026-10-08 14:38:57
1
Tee laoran :
Wale wa customer care namba 100 ni hatar ukitoka hapo😂😂😂
2026-10-08 16:39:49
0
vanessa :
huyu ndo mm 😂😂😂
2026-10-07 17:20:56
1
user61040442614707 :
iliwahi nikuta niliona aibu mimi🤣🤣🤣
2026-10-07 14:55:49
3
To see more videos from user @simukitaa, please go to the Tikwm
homepage.