niukwl nilienda marekani hakuna Ngoma ya tanzania inayo pigwa
2026-10-07 18:00:30
3
🇨🇩JOE🇨🇩ZEN🇨🇩 :
Oyo siyo mziki ni kelele
2026-10-07 16:52:30
3
lolo msafi tz :
hapo utajisumbua tu tz tuna nongwa🔥🔥
2026-10-07 13:00:21
6
Sylvester Wa Samia :
sasa diamond anaweza julikana america kama si mziki aky mario pia aseme ukweli mziki wa diamond unajulikana sana huwez niambia heti mtu anajulikana bila kit anachofanya
2026-10-07 17:14:58
4
lyza wasima :
wana muibia tu
2026-10-07 14:52:39
1
Jospin km :
diamond ni anajulikana kwau influence
2026-11-06 00:17:07
0
jeremie :
monde toujours likolo
2026-10-07 20:19:18
2
TallicD7b :
kwahy sisi bodaboda umetuonaje yan🤔😁🤣
2026-10-07 13:11:02
1
sherry_me3 :
hata rey vanny alipata akasemaga hivo
2026-10-07 16:59:05
1
🌹 𝓣𝓲𝓷𝓪 𝓨𝓾𝓼𝓾𝓹𝓱 🌹 :
kaka unatumia mafuta gani
2026-10-08 19:33:49
1
It’s . Ivy 🦋❣️ :
Ana penda vita n’a simba 😂😂😂
2026-10-07 14:50:39
1
DIASPORA OG :
mtajua wenyew bana
2026-10-07 16:47:29
1
Shakira A. Banobi :
Kitu ambacho unatakiwa kuelewa Marioo yupo sahihi mzk wa bongo fleva haupo internation na huo ndo ukweli
2026-10-07 17:47:05
1
kassim jr :
labda anawaza amejulikana kupitia tik tok
2026-10-07 13:50:13
0
Kidrama Junior :
fire
2026-10-07 12:31:02
1
imah tz🌹 :
nice brother
2026-10-07 12:32:46
0
patyma💞 🇹🇿🇴🇲💞 :
Nikwel😂😂😂
2026-10-08 19:08:47
0
wivine :
marioo
2026-10-08 20:11:10
0
baby eyes 🥰🥰🥰 :
ww so kwel
2026-10-08 20:57:32
0
We tz :
did uyo
2026-10-25 08:36:24
0
lakishtone 🔥♥️ :
miziki yake inayoskilizwa kule sio bongo fleva pure kama ama piano ni mziki wa south Africa 🔥
2026-10-08 20:48:41
0
it's P :
ngoma wazojua ni mapiano tu na si bongo fleva labda tetema ya rayvanny tu
2026-10-08 20:32:17
0
LJ Picture 📸🔥 :
Vraiment t'as Raison mon pote
2026-10-07 12:33:07
0
To see more videos from user @bounce_tz, please go to the Tikwm
homepage.