@jimbokuudsm: Ndugu wapendwa katika Kristo, tumsifu Yesu Kristo! Karibuni rasmi katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii. Kupitia kurasa hizi, tunalenga kushirikishana ujumbe wa Injili, mafundisho, matukio na maudhui mbalimbali yanayolenga kujenga imani ya Kikatoliki na kuimarisha maisha ya vijana pamoja na waamini wote. Tunawaalika waamini wote Wakatoliki, pamoja na wale ambao si Wakatoliki, hususan vijana, kufuatilia, kushiriki na kusambaza maudhui haya, ili ujumbe wa Kristo uwafikie watu wengi zaidi. Karibuni sana, na tunawaalika kutufuatilia kupitia kurasa zetu rasmi: Instagram: @jimbokuukatoliki_dsm TikTok: @jimbokuudsm YouTube: @jimbokuuDsm Like | Follow | Share “Tufanywe Upya na Roho Mtakatifu.” #fyp #fyptiktok #katolik #dini #godisgood

jimbo kuu katoliki DSM
jimbo kuu katoliki DSM
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 12:30:02 GMT
23709
2705
53
50

Music

Download

Comments

randomguy_1555
Randomguy✌️ :
haya sasa wakatoliki tukakuze account za Jimbo letu 🙏🙏🙏
2026-10-07 16:53:10
14
vwealth7
momo :
account inaitwaje?
2026-10-07 17:54:12
1
ermelinda.schools
Ermelinda Schools :
Milele amina baba
2026-10-07 19:38:46
1
mangiprosper
Erard_ Dr :
okay matanga hayatakua kwenye mbao za matangazo maana huwa hatuend
2026-10-08 07:14:05
1
user1617217415065
user1617217415065 :
milele amina baba askofu
2026-10-07 12:42:20
3
eicki.baraka.erika
eicki baraka erikana :
milele amina
2026-10-07 17:00:07
1
mansourynawab
mansoury nawab :
Kanisa letu 🙏🏽
2026-10-07 19:03:34
2
escoonewear
esco One wear WAp+255767000092 :
Amina Baba
2026-10-07 19:11:51
1
fransikalwambiko
Fransika Lwambiko :
Amilele Amina
2026-10-07 15:13:21
1
frevzmokoena
D ē v ı ė m ọ k ő ē ɲ ä :
tunaendelea kubarikiwa kidijitali 🔥
2026-10-07 17:34:26
1
rose_merr
Zena :
🙏
2026-10-07 17:42:36
1
tajpitanzania
tajpi4JPIC :
Asante Baba Mpwaji jitihada za kuboresha mawasiliano
2026-10-07 19:25:50
1
joseph.mallya1
Joseph Mallya :
saaafi sana baba
2026-10-07 17:50:34
1
user0613233690
thony :
2026-10-08 10:23:22
0
godfilly2
Godfilly :
Milele Amina.
2026-10-07 16:47:18
1
miss.lue888
miss Lucie 888 :
milele amina
2026-10-07 12:56:26
1
frank.swai5
Frank Swai :
milele amina
2026-10-08 16:36:56
0
adriano.mngulwi
Adriano Mngulwi :
milele Amina
2026-10-08 13:38:26
0
raphaelphilbertch
RAPHAEL PHILBERT CHINGALO :
milele amina
2026-10-08 18:47:12
0
veronicasecilia
Veronica Secilia :
Milele Amina
2026-10-08 10:18:51
0
user6237067521143
mamtrippleC :
milele Amina baba askofu
2026-10-08 15:36:31
0
user8154524921185
mikaya :
nmefollow paroko,japo nyumban sijafka mwaka wa 11 huu sasa
2026-10-08 17:26:45
0
edna.msele
Edna Msele :
milele amina
2026-10-08 15:24:05
0
alexbenard6677
obeydijey :
ninakushukuru sana baba askofu na tupo pamoja ushirika,ushiriki, na umisionarii
2026-10-08 16:18:54
0
msafrykimosso
Msafry Kimosso :
ᴍɪʟᴇʟᴇ ᴀᴍɪɴᴀ
2026-10-07 18:53:47
0
To see more videos from user @jimbokuudsm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About