@novaryn17: #nasoma comment

༒☘❝🅝︎🅞︎🅥︎🅐︎🅡︎🅨︎🅝︎❞☘༒
༒☘❝🅝︎🅞︎🅥︎🅐︎🅡︎🅨︎🅝︎❞☘༒
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 14:24:56 GMT
72605
2512
319
153

Music

Download

Comments

itsbadboy474
Itsbad boy🔥 :
Me niliharibu nikapigwa mpaka nikafa
2026-10-07 17:20:30
42
dismass.kweka
dismasskweka :
frash light ukibonyez inawaka ukiacha inazima
2026-10-07 15:20:05
64
emmatysitesltd
@Emmaty sites ltd. :
batan kubwa ukirudisha nyuma kabisa, crunzi haiwaki kabisa hata ubofye nyekundu, lakin ukisogeza kati, inakuwa na mtego ukibonyeza nyekundu itawaka ukiachia inazimika, pia batan kubwa ukisogeza mbele bas crunzi inawaka moja kwa moja.. asante
2026-10-07 16:37:49
33
zuuusam15gmail.com
[email protected] :
ambao atujawah ata kuzishika njoon hap
2026-10-07 15:39:45
16
boniphacechacha0
boniphacechacha25 :
kama swich umeisukuma kuwasha lakin haikufika ukibonyeza chekundu inawaka ukiacha inazima
2026-10-08 16:47:37
8
fulgencealberto62
Fulgence Alberto :
batery zikiisha inawaka inaonyesha nikama ilikua alam ya batery kuishiwa moto
2026-10-07 16:11:58
4
it.wa.mkoa.udom.f
IT WA MKOA, UDOM FINEST :
hiyo ilikua inawaka usiku kama umehifadhi torch gizani inakua rahisi kuona ulipo hifadhi torch yako hata kama kuna giza
2026-10-08 07:49:26
8
arnoldshirima3
Nongi Chagga 0G :
Hiyo ni kama flash light 🥰
2026-10-08 12:08:11
6
jemainpatrick688
Jemain Patrick :
iyo apo ilikuwa kama pasi madereva ndi wataelewa pasi gan
2026-10-07 15:23:10
6
user375552813085
Amosi :
frash light ukibonyeza inawaka ukiacha inazima
2026-10-07 18:39:21
8
abdonkamugisha7
Abdon Kamugisha :
inatumika katika nawasiliano (signaling) kama Kuna scouts wanaelewa
2026-10-08 08:57:45
3
ramadhanisalimu85
revocatus Leonidas nshaba :
wale ambao hamjui ni kitu gani like hapa🥰🤣🤣
2026-10-07 17:58:26
8
sunshine.pesa
SUNSHINE PESA :
flash light
2026-10-07 14:39:06
4
ramos.senior
Ramos senior :
▶• ılıılıılılıııııılıııılı। 02:01
2026-10-08 06:08:16
0
maisaemmanuelygmail.com
Emma 7⅞ 💝💝💝 :
daaaaaaaaah umenikumbusha huko enzi za nyuma
2026-10-07 20:17:06
6
swidemnyama
@mfalisayo :
power saving mode iyooo
2026-10-07 15:46:12
3
felix..a6
felix :
iyo ni GPRS
2026-10-08 14:54:20
2
stephenphilemon11
Stephen Philemon (Mbishi) :
ilikuwa finger print hiyo, sema mlikuwa hamjui application yake tu...
2026-10-08 11:10:06
1
daudi.gabriel4
Daudi Gabriel :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hy familia kabisa
2026-10-07 16:07:45
2
chunojr14
Chuno jr💥 :
full
2026-10-07 14:39:12
2
van.boy863
van boy :
muu brother kitambo sana hata sikumbki 2012
2026-10-07 17:23:21
2
ezekiamwaigomb
beny gombe's :
mimi mpaka sasa ninayo naitumia hiyo hiyo taa na haina mpango wa kuharibika
2026-10-07 17:35:58
4
errors.nightman
Yusuph Ramadhani Mene :
hii ni emergency batton ukibonyeza unakumbuka ulichokuwa unatafta
2026-10-07 18:21:11
1
paulochilangazi
Paulo Chilangazi :
tulokimbia coment tujuane
2026-10-08 17:06:43
1
official.mwanga.mt
Dubai Arminium Profile :
ilikua inatenga nisha injin na gia box
2026-10-08 14:18:15
1
To see more videos from user @novaryn17, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About