@ruiya.tv: 🤲 SAIDIA KUENDELEZA DA'WAH KUPITIA RUIYATV Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ikiwa maudhui ya RuiyaTv yamekuwa na manufaa kwako, unaweza kushiriki katika kuendeleza Da'wah kwa kutoa Sadaka kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya kurekodia na kurushia matangazo haya moja kwa moja. Vifaa vinavyohitajika: 📹 Kamera za Kisasa 🎤 Microphones za Kisasa 🎬 Video Switcher/Mixer 🎚️ Audio Mixer 📷 Tripod Stand 💡 Studio Lights Namba ya kutuma Sadaka TIGO PESA/ MIXX BY YAS NO: 📱 +255 775 819 501 AIRTEL MONEY NO: 📱 +255 786 696 698 Jina: Johari mwarabu msanango Hakuna mchango ulio mdogo mbele ya Allah. Kwa idhini Yake, kila utakachochangia kitasaidia kuendeleza Da'wah na kufikisha elimu yenye manufaa kwa Waislamu na jamii kwa ujumla. Jazakumullahu Khayran. Tunamuomba Allah (Subhaanahu wa Ta'aala) akubarikie, akuongezee riziki na auweke mchango wako katika mizani ya matendo mema. Aamiin. Support us RUIYATV Mixx by Yas +255775819501 Airtel money+255786696698 Subscribe Comment Like And share Thanks