@radiomariatanzania: ASKOFU MKUU NYAISONGA - NAMUUNGAMIA MUNGU - Namuungamia Mungu Mwenyezi, nanyi ndugu zangu, kwani nimekosa mno, kwa mawazo, kwa maneno, kwa vitendo na kwa kutokutimiza wajibu, nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana. Ndio maana nakuomba Maria mwenyeheri, Bikira daima, malaika na watakatifu wote, nanyi ndugu zangu, niombeeni kwa Bwana Mungu wetu. +Mungu Mwenyezi atuhurumie, atusamehe dhambi zetu na atufukishe kwenye uzima wa milele, Amina. — Mhashamu Gervas Nyaisonga, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya, wakati wa Misa Takatifu ya mapokezi ya Sanamu ya Bikira Maria wa Fatima jimboni humo. Misa Takatifu iliadhimishwa Jumatatu Oktoba 05, 2026 katika Parokia ya Roho Mtakatifu, Ruanda, Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya. www.radiomaria.co.tz #radiomariatz
Radio Maria Tanzania
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 14:55:42 GMT
Music
Download
Comments
Laurence 🦄 :
Mungu ni mkubwa🙏🙏
2026-10-07 17:50:49
6
RICH BODY6 :
amin
2026-10-07 21:04:41
1
Lydia Adam :
Amina
2026-10-07 17:27:09
4
annajosephat300 :
Amen
2026-10-07 17:38:49
2
Ansi boy❣️💔 :
nimekosa sana🙏
2026-10-07 18:22:42
3
kagera20# :
kwamawazo na kwavitendo
2026-10-07 20:03:21
1
sarahmtizi26 :
aminaa 🙏🙏🏻🙏🏻
2026-10-07 21:00:25
0
Gaudensia Richard :
Kwan nimekosa mno kwamawazo kwamaneno kwavmatendo nakwakuto timiza wajibu nimekosa Mimi nimekosa sana ndio maana nakuomba Malia mwenyekher bikiladai malaika nawatakatifuwote nanyi ndugugu za niombeen kwabwana mungu wetu amina
2026-10-07 21:22:14
0
user7718023602562 :
amina
2026-10-07 21:04:39
0
binah :
Amen🙏
2026-10-07 15:07:27
0
mama ARUBETH :
🙏🙏Amina
2026-10-07 17:00:45
1
Azibeth Mtove :
nimekosa sana🙏
2026-10-07 17:38:32
1
jaxy 🤗🤗 :
Amina
2026-10-07 21:07:41
0
user21134127827200 :
amen
2026-10-07 20:03:10
0
🫧Miss color🍫🧸🌸 :
Aminaa🙏🏻
2026-10-07 20:02:21
0
user1570046772781 :
amina
2026-10-07 20:44:33
0
Elka Hasunga❣️❣️ :
amina
2026-10-07 19:49:29
0
phestus kun Bosco :
amen 🙏🙏
2026-10-07 19:44:58
0
SAFI ⚽🅿 :
kwa upendo wa kristo
2026-10-07 19:41:09
0
mashalo :
amina
2026-10-07 19:38:45
0
Eusebius Eleneus :
amen 🙌🙌
2026-10-07 19:24:33
1
user6231833730396 :
amina
2026-10-07 19:43:47
0
Isabela Lwesya :
amina
2026-10-07 19:54:04
0
magreth kimea :
Amina
2026-10-07 19:40:38
0
Tee🥰😘 :
amina
2026-10-07 15:11:05
0
To see more videos from user @radiomariatanzania, please go to the Tikwm
homepage.