@fikraprustv: 🔥 MWL. ANKA AFICHUA: “NILIKATAA UISLAMU KWA SABABU HII!” Mwl. Anka anasimulia sababu iliyomfanya kuukataa Uislamu, akifichua uzoefu na hoja alizokuwa nazo wakati huo. 👀 Ni sababu gani iliyomfanya afikie uamuzi huo? Na nini kilitokea baadaye? 🎥 Sikiliza simulizi yake kamili na utoe maoni yako kwa heshima. #MwlAnka #Uislamu #Dini #Mjadala #Simulizi #Albayaanatv#Trending
Madras watoto hawafundishwi kumchukia Yesu.Ni uongo huo
2026-10-08 01:16:26
45
bizz :
Waislamu wanauongelea sana Ukristo katika mafundisho yao.. lakn cjawahi ona wakristo wanauongelea uislamu kwenye mafundisho yao..
2026-10-09 02:44:11
59
naomymose :
That made made religion. True religion speaks truth, and it is not our gain it is all about God. Will not ly to pray. Or ways of God.
2026-10-10 10:59:46
0
jay my G :
YESU NI MUNGU
2026-10-08 07:51:54
73
hawa :
Ambao tunajivunia kuzaliwa kwenye dini ya uislam, dini ambayo ni ya haki tugonge like
2026-10-08 17:15:47
65
chriss :
jina la yesu lipewe sifa👏🏿🙏🙏🙏
2026-10-07 23:03:07
75
Revolution :
ukristo unafundisha upendo kwa wat woote na kuwaombea wale wote walio kunyume na mapenz ya Mungu wabadilike. alaf ukristo haufundishi lugha bali neno la Mungu unafundishw neno kwa lugha yako maan Mungu wetu anajuw lugha zote
2026-10-07 18:44:53
29
Omari Kitewe :
tunachoaminishwa kwenye madrasa ni kuwa yesu sio mungu ni nabii, halafu kuhusu kupigwa hakuna andiko linalosema mwanafunzi wa madrasa apigwe, bali hio inatokana na mwanafunzi mwenyewe, halafu tambua kuwa yesu mwenyewe alikuwa muislamu soma bibilia vizuri utaziona dalili brother, dini ya haki ni uislamu tu
2026-10-08 18:28:39
23
abdul abdul :
yesu ni mtume wa Mungu kwa mujibu wa uislamu. vipi waislamu wamchukie ???
2026-10-08 03:57:14
19
user7108436096616 :
Hata mimi najivunia kuzaliwa kwenye uislam na ntakufa muislamu inshallah hakuna dini mbele ya Allah ispokuwa uislam
2026-10-08 17:21:57
17
Ex G3 7.62mm :
Tumsifu Yesu Kristo 🙏
2026-10-08 02:32:01
18
kuku/farm :
uongo mtupu hakuna ata madrasa moja inayo fundisha kumchukia yesu au mkristo
2026-10-08 05:24:39
33
Nazmin hassan :
lazima ijulikane dini ya haki ni uwislaam
2026-10-09 14:53:44
11
KIZU BOY🦁🦁 :
Sasa watu watamchukiaje yesu na kwenye Quran kaandikwa
2026-10-08 04:09:07
10
.... :
nahayo maneno mabaya ni yapi tuambie km sio uongo??
2026-10-07 17:00:22
9
junior Abdull :
yesu ni mtume wa mungu na ni muislamu waislam hawamchukii mtume wa allah huo ni uongo
2026-10-08 04:18:06
9
username 37 :
kanisani tunafundishwa upendo kuanzia chini yaan utoto tunaambiwa kuua dhambi ila kule mnaambiwa ruksa kujitoa sadaka kufunga bomu nakufa kupigania chako ila uku kanisani tunaambiwa samehe saba mala 70 mtu akikupiga kushoto geuka na lakulia akuombae koti mpe na kanzu
2026-10-08 15:42:14
8
Sophia_Sophie :
Yani wazazi wakiwa dini tofauti alafu ndoa yao ikawa imefungwa kwenye kanisa katoliki lazima watoto wawe wakristu.. sijui kwanini
2026-10-08 04:40:33
5
.... :
watu si wangeacha uislam
2026-10-07 16:59:42
8
Neema Mosis :
YESU nakupend San najivunia ww San ww .ww ndo Uzim wangu maish yangu ushind wangu. aman yangu
2026-10-08 04:37:57
14
cycy joyce :
Tumusifu yesu kristo
2026-10-09 06:53:23
5
Ibrasmart electronics &perfume :
angalisema hayo maneno mabaya aliombiwa alafu watu wakayajadili kama ni kweli au sio kweli ,alafu hakuelewa ni sehemu gani watu lazima wasome kwa kiarabu na sehemu ipi mtu anaweza kuomba kwa lugha yoyote, qur'an lazima kwanza ukariri kama ilivyo kwasababu ndani ya qur'an huwezi punguza wala kuengeza.
2026-10-07 19:15:52
6
Hamisi khalid :
hahhahah hamna kitu hapo mnatengeneza story ambazo hazipo
2026-10-08 05:08:05
7
JESUS IS GOD❤️🙏🙏🙏 :
kristo ndio njia,ukweli na uzima wamilele AMEN 🙏🙏🙏
2026-10-08 08:26:40
5
user24541759360957 :
Mh! hii stori mbona yakuungaunga
2026-10-07 19:38:34
16
To see more videos from user @fikraprustv, please go to the Tikwm
homepage.