watu wafupi waga Wana vibe hatar[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-08 05:42:25
0
Roma :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]ukipata muda wa kufurahi furahii my friend [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]tunaishii mara mojaaaa tuu
2026-10-08 04:39:35
1
Kichunanah🥀 :
yaan uyu nisawa nawale watu ambao hawataki kujua watu wanasemaje anafata moyo wake unasemaje
2026-10-09 04:59:12
42
bby zuu :
maisha yana changamot nying sn na zkja hazpig hod hvyo ukpata time ya kurefresh itumie vzr kuna vtu unakua unavpunguza kchwan
2026-10-07 18:54:16
61
Ester Mwakaje :
Ila Mina [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-08 06:12:01
0
maggie fresh juice🍏🍉🍍🍹 :
enjoy aunt maisha ni hayahaya mwaya😂
2026-10-08 20:17:07
8
ERICK_ADAM :
Kuna muda acha watu wafurahi tuuu ,,,Dunia inaumiza sana
2026-10-08 18:16:16
7
Aggyjona❤❤ :
Ukipata nafasi ya kufurahi we furahi maisha ndo haya haya
2026-10-08 05:49:19
16
Veronica Solomon :
nimekupenda bure dada wewe ndiyo Mimi sipendi kujibanabana
2026-10-08 14:00:42
11
marykidoti 🇹🇿🇹🇿 :
Natamani nimjue uyo dada mwezi 11 aje kwenye alusi yangu 🥰❤️❤️
2026-10-09 04:17:19
7
Zayjma :
Huyu nae mwisho amjambie baba wenye nyumba wangu😂😂
2026-10-07 19:06:20
9
vero Stationery Tukuyu :
jomon nimecheka leo jomon, naomba umwambie huyu dada nampenda💕💕
2026-10-07 17:06:56
8
ZayMuu :
Watu kwani kibaya nini apo watu wasifurahi ukute Ata pombe Atumii wengine tumeumbwa ivi uwa tunafuraha na wala simakasiliko
2026-10-09 03:02:43
6
Lily Marwah Tz. :
Uyu n mm kbsa kwny shereh zawa2 nikilewaga
2026-10-08 07:53:20
24
Queen😍 :
anacheza kutoka moyoni kama mimi
2026-10-07 18:20:39
6
mama wawili :
najiona Mimi nisivyo na aibu Wala nidhamu kweny sherehe za watu
2026-10-08 08:53:40
5
momtwins🥰 :
naomba mungu iki kibiti kisiishe nguvu kije kupigwa kwangu jmn