@vipodozi_kariako: #drloloproduct#vipodozitz #mirandyhlowfacecream#lavenderglowchallenge #

Dr lolo product
Dr lolo product
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 15:36:12 GMT
186417
14179
610
1632

Music

Download

Comments

ally.kasti.adam
Ally Kasti Adam :
sifa zote hizo kwa boss,boss kala mzigo
2026-10-07 17:27:13
84
shokiherself
SHOKI ATELIERS :
Kwahiyo nianze na budget ya viatu sasa😅😅 akii huu utajiri sasa
2026-10-07 16:10:56
274
surveyorkude
AMM :
Utajiri una siri kubwa hapo Boss wako kakuficha hiyo anayofanya ni password hawezi kukupa hiyo siri why anafanya hivyo
2026-10-07 17:12:07
87
alamoud31
Bin Abuu :
The job title is PERSONAL ASSISTANT not person assistant👍
2026-10-07 17:12:45
132
msouth_dreamchaser
Dady_Msouth :
Lolo mambo
2026-10-07 17:53:18
52
didasjuma635
Didas Juma :
hapa duniani maelekezo nimengi mno Sasa mniache.
2026-10-07 18:05:33
66
eysher95
Aichi 💕💫 :
nimejifunza k2 kkubwa sana mungu awabariki aisee
2026-10-07 16:29:23
107
nicholausgodfreys
nicholausgodfreys :
Jamaa alikuwa sahihi coz ukiwa umechukua kiatu kipya ukavaa eneo hilo then ukaviacha ile energy haondoki nayo anaiacha pale Pale hawezi kuibeba
2026-10-07 18:00:43
26
richwise100
Richwise :
hivi haya mambo yapo Tu Africa? I've been in Europe and US for more than 15 years I've never heard of this🤔
2026-10-07 18:25:51
5
cathy56560
🌹Cathy🌹 :
me sijui sana ila kiatu ni kibali ,ndio maana hata ukiota viatu vyako vinapotea ujue kibali chako kinachukuliwa
2026-10-07 15:50:50
140
sistermiryam
Sister Miryam :
intended sana[Perfect score]
2026-10-07 20:38:51
1
gee_preciosa
Glory Nkuba :
Maisha yana Elimu nyingi sana, kujifunza ni muhimu. Hii ya leo ni mpya kwangu.
2026-10-07 16:47:24
59
ezhome21
Ezhome :
Utajiri wowote ulio pewa na Mungu hakuna ambae atakusumbua Maana Mungu akitoa Baraka kwako zinaambatan na Ulinzi, Ukiona Tajiri anautajiri alafu anaishi kwa Hofu ujue huyo utajiri wake niwamauza uza, Hakuna utajiri wa Mungu alafu uanze kuishi kw hofu
2026-10-07 18:47:02
63
dudleyy8
dudleyy8!! :
😂😂😂😂kwani Ritha ni nini hujawahi fanya hapa Tanzania
2026-10-07 18:02:22
5
ms_aggie23
🎀𝒜𝑔𝑔𝒾𝑒🎀 :
lesson learn thank you for sharing [Heartwarming]
2026-10-07 21:30:56
1
nyambura.jumanne
Nyambura Jumanne💖💖 :
thanks for a lesson 🙂 mm nimejifunza
2026-10-07 17:46:20
2
beingfettie255
beingfettie255 :
Exactly😎📌
2026-10-07 17:21:49
5
kasasaart
kasasaart :
Me bora waniroge tu ila siwezi tupa kiatu kipya😂😂😁
2026-10-07 18:47:41
10
niniy.mommianna
💎NINIY MOMMIANNA💎 :
Naona dalili za utajiri zinaninyemeleaaa
2026-10-07 17:09:51
43
userprincessdalii
Haleemah🦋❤️ :
Na pair yangu moja ya kiatu wachote tu[Laugh approved]
2026-10-07 16:16:31
41
babayuu28
babayuu28 :
nishapata Idea ya viatu bado tu pesa na sehem yakuwa na viacha ivo viatu🥹🥹
2026-10-07 16:54:52
39
evalinebaby
evaline baby :
ni na umasikin wangu ningekuwa navichukua navaa mimi😂
2026-10-07 16:45:35
53
user1259556101801
Sarah :
Wa pili 😂
2026-10-07 17:05:23
5
dianafrancis64
Miss Dee ❣️ :
Kwa upande wangu nimeelewaa na kuna LOGIC kubwa Sanaa.
2026-10-07 16:30:31
25
To see more videos from user @vipodozi_kariako, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About