@namatz00: MTUMISHI wa Mungu Boaz Danken anawakarbisha watu wote Katika semina kubwa ya kusifu na kuabudu iliyoanza Leo tareh 7 MPka tareh 11 October inayofanyika Katika kanisa la EAGT post B Mabatini chini ya mchungaji Kiongozi Askofu Lameck Nkumba semina hii itahudumiwa na pastor Iman Boaz Danken#gospel #godisreal #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 @Boaz Danken @Pastor Imani Boaz @patimoeagtmwanza