@mwanaspoti: Lionel Messi amecheza mchezo wake wa mwisho kwa timu ya taifa ya Argentina, akiaga kwa ushindi wa mabao 3–0 dhidi ya Benin katika Uwanja wa Monumental. Messi alifunga bao moja kwa penalti na kutoa asisti mbili katika usiku wake wa mwisho. Messi anaondoka akiwa amecheza michezo 208 na kufunga mabao 126 kwa Argentina. Katika safari yake ya kimataifa, alitwaa Copa América mara mbili na Kombe la Dunia 2022, akiacha rekodi na historia kubwa katika jezi ya taifa. Baada ya zaidi ya miaka 20 ya kuitumikia Argentina, sasa enzi ya Messi imefika mwisho. Maradona alituachia historia yake, Messi ameandika yake. Sasa ni nani atakayefuata? 🇦🇷⚽ 🎤 @bintiyassin_ ✍️ & 💻 @uswege_danken #fypシ #messi ‎#SourceNiSisi ‎#mwanaspotiupdates ‎#tunawezeshataifa

Mwanaspoti
Mwanaspoti
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 October 2026 16:17:57 GMT
4196
289
7
2

Music

Download

Comments

dogokante8
Kante Tz🇹🇿 :
Thiago mess,Matheo mess,and ciro mess
2026-10-07 18:14:50
0
kadogoo3192
@champion kadogoo☠️ :
Alvarez
2026-10-07 19:05:52
0
user3935134883297
Chid Due :
nic paz
2026-10-07 18:40:09
0
me.chawa.wa.captai
Black Eagle 🦅 :
1.Nice paz 2.jurian Alvarez 3.Enzo ferńandez
2026-10-07 17:51:34
0
monji___10
MONJI 10 :
paz
2026-10-07 18:45:51
0
john_lzn
john_lzn :
Nic Paz
2026-10-07 16:36:47
0
singleboyintiktom1
OFISHO BEN270 :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-07 16:24:33
0
To see more videos from user @mwanaspoti, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About