hapo hamjuani majina kila mtu oya mwamba kiongozi bro family blood 🤣
2026-10-08 07:47:53
184
FRËÊDØM⛓️💥FÏGHT3R :
wanaume wakikuta ni furaha2
amn minun0🫡🫡🫡🫡🫡🫡
2026-10-07 23:43:46
83
January Basso :
hiyo nakumbuka tukiwa ruvuma coal ilikuwa mwaka mpya Sana sita usiku tukiwa pit 🔥🔥 oya vyuma vyote vilishangilia kwa staly zake😂
2026-10-07 17:48:30
38
sheban :
and you will find the contractor laughing and say" its enough guys now let's work" 😂😂
2026-10-08 05:46:45
8
Ezibon Advedius :
wana familia na wameaga tunaenda kazini
2026-10-07 17:58:06
22
K i s e_MC🧠 :
Hiyo ilikua kdjskshsgajqisbwwgyhsjsns. hivyo tu
2026-10-07 17:14:20
16
🇬🇧 𝐖𝐀𝐑𝐑𝐄𝐍 ఌ︎ఌ︎ఌ︎ఌ︎ :
for all men
2026-10-08 12:56:29
6
KEVI AFRICA 🌍 :
Mapenzi yatupishe
2026-10-08 06:59:11
6
Michael mwawa :
sahiii
2026-10-07 19:02:27
8
yangkang :
wanaume Huwa tunapendana 😁😁 hata kama hatujuani ila wanawake saaasa😂😂
2026-10-08 08:37:39
7
kelvinsaid491 :
ni michezo tuuh
2026-10-07 18:42:42
10
J.romantic :
atujuani majina il mmoja huitwa dogo na Kil mtu
2026-10-08 21:48:26
6
Ahmady Nkonoki :
Na usikute kuna mwehu mmoja kaeleza changamoto zake na mpenzi wake kazini, wenzie wakaona wamtoe ktk mood ya ujinga na kumtengenezea furaha. Daaaah!!! Hii jinsia yangu inajali sana amani baina ya sisi na sisi 😂😂😂😂
2026-10-08 10:42:27
9
Mudy Omar :
boss kazini kuna kazi aiseee
2026-10-07 19:22:59
6
Brand_electronics_store💡 :
Na hakuna kuulizana majina apo
2026-10-08 08:03:15
5
jypaa work :
mungu atulinde wanaume wote na kazi zetu ziendelee kuwa na vibe ili tutimize wajibu wetu katika jamii,, jeshi ,tanesco,wachimb madin ,kwaujumla vikundi vyote vya kazi za nguvu
2026-10-16 07:58:42
8
koku :
jioni lazma wagombane labda sio mm
2026-10-08 12:07:08
35
the king☠️☠️ :
michezo to
2026-10-07 17:48:14
8
To see more videos from user @kambione_mediatz, please go to the Tikwm
homepage.