kwamba tanzania tunashindwa kutengeneza barid kwa maelf ya feni😅
2026-10-26 06:57:26
14
SANJIS STORE :
yani jua lilivyo kali ivi bado tu haliwatoshi aseeee😂😂😂
2026-10-08 11:25:41
41
josehyoshida :
Tanzania na sisi tunao uyo mpango
2026-10-07 19:39:37
17
megatron hussein :
hahahaha wachina msije mkaita hilo ni jua waulizeni Brazil kilichowakuta
2026-10-07 20:13:24
16
venom :
mbona sioni jua naona ukungu tuu😇😇😇😇
2026-10-25 21:35:22
1
Sucroz Daic :
bado ilo jua litategemea jua 🤣
2026-10-09 12:19:17
4
Him🚶🏽➡️ :
Linakausha nguo hilo au😊😊😊
2026-10-07 18:03:11
18
eFOOTBALL ZONE❄️❄️⚡ :
hilo sio jua bro hivyo ni kuzalisha umeme kwa kutumia jua yaan vioo Zina reflect jua ule mwale unaenda kwenye mnala
2026-10-08 11:33:33
2
africa tanzania :
liko wapi sasa hilo juwa mie naona sistim ya sola
2026-10-07 17:35:55
6
GENERAL :
duniani na mbinguni Kuna mungu mmoja tyuu muumba jua na mwezi
2026-10-08 07:25:22
2
🎀🅸🆃'🆂 🆆🅸🅽🅽🅴🎀 :
Naombeni mnifanyie delivery 😁😁😂
2026-10-07 20:47:11
2
Rucresha :
YESU anakuja muda umekwisha jamani
2026-10-08 19:48:12
5
Seif Salim :
hamna jua hapo
2026-10-08 04:21:58
1
idmar :
mbona huku hatujaliona
2026-10-18 04:44:05
1
omyano :
jua la mungu litabaki kua la mungu
2026-10-11 19:29:13
1
Black Girl 🦋 :
subhanallah 😔😔😔
2026-10-07 20:52:18
3
mom ramlA :
likija tz litakausha maisha ya wat jmn
2026-10-11 15:09:11
1
babyboy👶 :
ndoman vioo vmepanda bei nkawanajiulz shid n nn
2026-10-07 18:40:01
1
😎 :
ilo jua Ili lifanye kazi lzim lisaportiw na jua la mung
2026-10-07 18:17:31
1
ammy..qatoto🌹 :
asa washindwe nn angal Tanzania tunatengeneza ndege sahiv..🤣😂😅
2026-10-07 18:29:45
1
Rama Q :
sola power 🔋 na izo nguzo ni betr ya kuifaz energy izo za chin ni solar system
2026-10-07 18:49:51
1
mr paraboy :
hilo sio jua, huo ni mfumo wa kuvuna nishati ya jua, yaani kama solar power, ambavyo hivyo vioo vyote vimetegwa kuelekezwa upande mmoja, ambapo hizo nguzo zilizosimama. Ambapo kati hizo zinazoonekana kama nguzo ndizo zina change joto hilo la jua kua nishati ya umeme .
2026-10-10 06:52:47
1
JAY_WANAMAN7💙👑 :
Tunaomba topup wao waje bongo si twenzetu shang’ai
2026-10-25 15:22:48
0
MSALITI :
Elfu ngap?
2026-10-07 17:34:46
0
To see more videos from user @kambione_mediatz, please go to the Tikwm
homepage.